Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,448
- 16,308
Kwanza naomba ni declare sina ubaya na huu wimbo wao wa #Gere bali najaribu kutoa maoni tuu ili kuboresha tasnia hii ya music.
Inasikitisha sana wimbo wenye jina la kimwambao(Gere) kuwa na vionjo vingi vya nje, tena vilivyokopiwa kutoka nyimbo za mtu mwingine, ingependeza sana kama ingekuwa na vionjo vya asili.
Mbaya zaidi wameenda kucopy na kupaste kila kitu kuanzia audio mpaka video, hivi hawa WCB wameishiwa kiasi hiko? Mbona nyimbo nyingi wanazotoa wanacopy sana?
Audio wamecopy kutoka nyimbo za Wizkid (Gheto Love & Joro).
Wizikid - Gheto Love
Wizkid - Joro
Tanasha & Diamond - Gere
Video pia wamecopy ideas nyingi mojawapo ni hii