Diamond sasa ni kubadili mafanikio kuwa hela

😂😂😂
Ila mondi anazimikia Rolls Royce.
Avute basi Rolls Royce Phantom!!!

Kama second hand/used cars kutoka Japan zinawafanya wasilale...sembuse Eroupean cars tena brand new? 🤣🤣🤣🤣🤣. Atleast enzi za kina chameleon, bebe cool, bobby wine kutoka uganda walijaribu kwenye issue ya magari
 
Diamond amefanya vizuri 2019 hakuna ubishi. Amefanya shows za mafanikio na ameangaliwa zaidi kwenye You Tube kuliko msaanii mwingine yeyote Afrika!!!

Wasanii wa West na South Afrika ambao Mondi kawazidi wanamiliki ukwasi mkubwa, majumba, ndege binafsi....!!!

Sasa kilichobaki ni kubadili mafanikio ya Mondi kuwa hela. Hii likifeli wa kulaumiwa ni menejment ya diamond!!!

Hii menejment sasa inabidi iende hatua mbele zaidi ya kuendeleza uswahili, mabifu yasio na maana na kukazana kuonyesha wanajaza maviwanja wakati msanii wao hajavuna hela na kufaidika inavyotakiwa!!! Mambo ya kujaza maviwanja vya bongo wamwachie konde boy!!!

Mondi angekuwa mganda au mkenya si ajabu muda huu angekuwa na ndege binafsi mbili tatu!!!

Maswali 3:

- umejuaje Diamond hana hela?
- nani kakwambia mafanikio ni ndege?
 
Maswali 3:

- umejuaje Diamond hana hela?
- nani kakwambia mafanikio ni ndege?
Nilishatoa ufafanuzi kwamba ndege nimetoa kama mfano tu lakini hoja ya msingi ni mafanikio ya kifedha kwa ujumla!!!
Sijasema mondi hana hela. Nimesema anaweza kuingiza hela zaidi. Na ndio ikaja hoja kwamba si ajabu angekuwa mganda au mkenya angekuwa na mchongo mrefu kuliko alionao sasa!!!
 
Mkuu ushawahi kujiuliza Forbes huwa wananufaika vipi na hicho wanachokifanya?

Mkono mtupu haulambwi..hizo takwimu huwa wanapika. Wanachofanya ni kumfuata mhusika (inategemea na image ya muhusika kwa jamii) wananegotiate. Au muhusika kuwafuata forbes then wanapika mambo. Forbes ni wafanyabiashara wajanjajanja tu.

Takwimu huwa zinakuwa ni za makadirio ya juu juu tu. Kuna wajuba wana hela zile za urithi walizikuta toka vizazi na vizazi, lakini hata forbes hawajawahi kutokea. Wao ni kuamka na kucheza tu karata asubuhi huku wakitoa donation kwa watu wa UN.

Maisha haya bwana hayana usawa kabisa
Kwahiyo kama uwaamini FORBES unaamini nani sasa maana hao wanaenda kwa data, Basi mimi tajiri kuliko wote Africa.

Then ujaelewa jamaa anazungumzia nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishatoa ufafanuzi kwamba ndege nimetoa kama mfano tu lakini hoja ya msingi ni mafanikio ya kifedha kwa ujumla!!!
Sijasema mondi hana hela. Nimesema anaweza kuingiza hela zaidi. Na ndio ikaja hoja kwamba si ajabu angekuwa mganda au mkenya angekuwa na mchongo mrefu kuliko alionao sasa!!!

Ujinga ni ugonjwa, hivi mafanikio ya mtu ya kifedha unayajuaje? Umeona mikataba ya kazi zake? Umejua analipwa shillings ngapi? Unajua matumizi yake? Ndugu yangu, solve matatizo ya watu Achana na ya watu!
 
Sifahamu wenye ndege zaidi ya jaguar. Ila navyofahamu wengi wa kiwango cha kati wana mafanikio kifedha kuliko wenzao wenye kiwango hicho hicho waliopo bongo. Kwa hiyo nazungumzia mafanikio kwa ujumla si kununua ndege tu
Sidhani kama pesa ya muziki ndiyo iliyomfanya Jaguar akanunua kale 'kandege'. Ni sawa na leo Mo Dewji akatoa track halafu tukasema muziki umemfanya Mo bilionea which is wrong.
 
Ujinga ni ugonjwa, hivi mafanikio ya mtu ya kifedha unayajuaje? Umeona mikataba ya kazi zake? Umejua analipwa shillings ngapi? Unajua matumizi yake? Ndugu yangu, solve matatizo ya watu Achana na ya watu!
Mkuu mbona unakuja na munkari!? Tunajua mondi ana mafanikio. Hapa ni changamoto nimeweka mezani ajiongeze zaidi. Sasa unapokuja na matusi yako hayo ndio tufuate usemacho au tukuogope?
 
Sidhani kama pesa ya muziki ndiyo iliyomfanya Jaguar akanunua kale 'kandege'. Ni sawa na leo Mo Dewji akatoa track halafu tukasema muziki umemfanya Mo bilionea which is wrong.
Jaguar ni mfanyabiashara alieanzia kwenye mziki baadae akawa mwanasiasa.
 
Naona uko kazini kwa malipo halsli
Screenshot_20200105-234704.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forbes ni wafanyabiashara pia...huwa wanatetea ugali wao kwa style hio. Jaribu tu kufikiria kwa akili ya kawaida utapata jibu haina haja ya kleta ushahidi hapa mkuu
Kama nakupata mana niliona kiba Ana utajiri 4+ million dollars na mondi Ana 5+ million dollars sikuamini hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond amefanya vizuri 2019 hakuna ubishi. Amefanya shows za mafanikio na ameangaliwa zaidi kwenye You Tube kuliko msaanii mwingine yeyote Afrika!!!

Wasanii wa West na South Afrika ambao Mondi kawazidi wanamiliki ukwasi mkubwa, majumba, ndege binafsi....!!!

Sasa kilichobaki ni kubadili mafanikio ya Mondi kuwa hela. Hii likifeli wa kulaumiwa ni menejment ya diamond!!!

Hii menejment sasa inabidi iende hatua mbele zaidi ya kuendeleza uswahili, mabifu yasio na maana na kukazana kuonyesha wanajaza maviwanja wakati msanii wao hajavuna hela na kufaidika inavyotakiwa!!! Mambo ya kujaza maviwanja vya bongo wamwachie konde boy!!!

Mondi angekuwa mganda au mkenya si ajabu muda huu angekuwa na ndege binafsi mbili tatu!!!
wewe unamilik nini? Wabongo bana
 
Back
Top Bottom