Diamond punguza uhuni Zari ndio mwanamke sahihi kwako

Uzuri teknolojia haiongopi tiffa na nillan watakuja kuona hizi picha za ufuska wa baba yao kadhalika na hamisa nae kale kabinti kake na uyo mtoto wake hizi picha tunawahifadhia wakikua waone aibu za wazazi wao
 
Mbona diamond kamvumilia zari hv mwanaume gani atakubali watoto watatu kirahisi?halafu na maskendo ya nude videos ?hebu muacheni kaka wa watu
 
Mama dully the badass.......
hamisa kajua kumburuza zari jamani kaanzia kwa ivan don mpaka madale.... bega kwa bega, anaingia madale muda wwte kama mama mjengo.....

hamisa untouchable ass
 
We nae usituchefue mbona hakuna hata mtoto mmoja anaemfanana daimond ,,yule nillan anafanana na ivan,,
Tunasubiria picha ya mtoto wa hamisa tufananishe DNA za macho,,angalia kina hemedy watotp wao wanavyowafanana,kina msando
Kwahiyo unawajua watoto wa diamond kuliko diamond mwenyewe

Hivi ivan alikua na mdomo kama wa nillan na tiffa eeh
 
Huyo kibibi wala usimuonee huruma cuz yeye ndio muhuni na ndio aliye sababisha husband wake kuwa na presha

Tukio la kumkimbia ivan alee watoto na yeye kwenda kumkimbilia kijana mdogo diamond ilukuwa ni tukio la kijinga na alifanya makusudi kumuumiza ivan

Kuna kipindi walikuwa wanapiga picha wakiwa nusu uchi bafuni nyingine chumbani mara d anamnyonya kwapa hiyo yote kumliza mmewe

Kumbe ivan alikuwa na machozi ya ndani ndani mwishowe hata utajiri wake hakuona faida yake presha ya mawazo ikamuondoa

So chozi la ivan ndilo linalomsumbua na kumtafuna zari

Yaani mwacheni wala msiingilie. Hicho kibibi kimebarikiwa akili ya kusaka hela lakini akili inayoendana na umri wake hakina
Unajuaje je kama ivan ndo alimuacha zari au alikua na visa kwa sababu ya utajiri wake huenda zari alimvumilia mwisho akachoka na kutafuta furaha ya moyo wake
 
Watu wananifurahisha kweli.. unakuta mtu anakomalia watoto sio wa diamond kuwa hawajafanana nae... ila ukimuona yeye anaesema hivo hajafanana hata robo na baba ake.. wabongo wivu ni kitu kibaya sana
Umeonaeeh mwenye watoto wake karidhika wao eti hawajaridhika
 
Back
Top Bottom