Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Ni awamu ya tano (Nyerere 1, Mwinyi 2, Mkapa 3, JK 4, Mzee baba 5) note: hakuna Rais aliyeongoza chini ya mihula miwili. Tunahesabu ni awamu ya 5 muhula wa pili.
Mi basi nlikua na hesabu awamu kwa miaka mitano.ASA kama asingeshinda akampa mwingine ndo tungesema ya sita?
 
Dah....TZ yote 'kusimama'...! Kwa kipi hasa! Umenikumbusha wakati Yanga wamepanga kumtangaza Senzo kulitoka kauli hii 'Nchi inaenda kusimama' .
We Li TZ lote hili unaweza vipi kulisimamisha..! Wapo wengi tu ambao wala hawamjui huyo Diamond...!
Yaani wao hawaangalii impact ya kofii olomide katika huo wimbo 😁😁😁

Wwnafurahia huku wanasahau Kutoa shukurani kwa kofiii .. nasema hivi kwa sababu kofii ni msanii mwenye fan base kubwa sana Africa anajulikana Africa nzima kajijengea huo umwamba yapata takribani miaka 35s ... Hivi mtu Kama huyo ukimpa shavu katika wimbo wako then ukaifanyia hiyo nyimbo promo ya nguvu Huo wimbo utaacha kuwa hit

All in all diamond pia anastahiki sifa Anajua jinsi ya kuwekeza pesa zake katika sehemu na wakati sahihi ..kufanya ngoma na msanii Kama kofii Ni kuzidi kujipaisha zaidi kisanaa..
 
mbona "mediocre" ya KING ilifikisha 20M views ndani ya siku 10 na hatukusumbua watu kama nyinyi mnavyofanya, acheni ujinga.
 
Dah....TZ yote 'kusimama'...! Kwa kipi hasa! Umenikumbusha wakati Yanga wamepanga kumtangaza Senzo kulitoka kauli hii 'Nchi inaenda kusimama' .
We Li TZ lote hili unaweza vipi kulisimamisha..! Wapo wengi tu ambao wala hawamjui huyo Diamond...!
Tuache unafk bwana nani hamjui mondi mimi sio shabiki wake ila all most watu wote ukitoa wale was vijijin sana wanamjua
 
Alikiba ndio namba moja balani Africa na ndio msanii mwenye pesa nyingi tanzania ..mnisamehe niko shinyanga vijijini😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom