Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Yooo hapendi kujioyesha alishapataga viewers M6 kwa nusu saa! Ila akawaambia YouTube wakaushe waweke viewers wachache tu
Hii trick ishakua outdated sana, alafu sio kila anapotajwa diamond ni lazima uchomekee habari za kiba ili uonekane una chakuongea
 
Habarini.

Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.

Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.

Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri

hii ngoma kiwango cha fly over🤗🤗
 
angemkuta Papaa Mopao enzi zake yuko kwenye peak na yale madharau yake ya kikongo, asingekubali kufanya hio collab , ashukuru papaa amechoka, hata kibeku alikuwa ungo
 
Diamond platinum ndio msanii wa kwanza Tanzania kufikisha viewers 2.3M ndani ya Masaa machache(21 hours) katika platform ya youtube kupitia wimbo wake wa waah!!, wimbo wake howa Diamond Amemshirikisha msanii wa nchi ya Congo ajulikanae kwa jina la Koffi Olamide.
IMG_m7sdj2.jpg
 
angemkuta Papaa Mopao enzi zake yuko kwenye peak na yale madharau yake ya kikongo, asingekubali kufanya hio collab , ashukuru papaa amechoka, hata kibeku alikuwa ungo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom