Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Habarini.

Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “SHIKAMOO” Hata Kama ninamzidi Umri.

Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.

Hili Ni Bonge Moja La Sebene kwa Kila Mpenda Sebene Analazimika kumsalimia Diamond “SHIKAMOO” Hata Kama Umemzidi Umri

hiyo SHIKAMOO yako kama haina kazi si bora ukampe Pierre Liquid au Mwaisa
 
Habarini.

Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “SHIKAMOO” Hata Kama ninamzidi Umri.

Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.

Hili Ni Bonge Moja La Sebene kwa Kila Mpenda Sebene Analazimika kumsalimia Diamond “SHIKAMOO” Hata Kama Umemzidi Umri

Kuna watu walitegemewa watajibiwa na nyimbo zao naona Mondi kapiga kimya kawakwepa.

Mondi ni mfanya biashara,ukizingatia sasa hivi ana utitiri wa show ktk nchi za Anglophone Countries ,kaachia nyimbo ambayo inaendana na nchi hizo.
Anglophone?
 
Habarini.

Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “SHIKAMOO” Hata Kama ninamzidi Umri.

Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.

Hili Ni Bonge Moja La Sebene kwa Kila Mpenda Sebene Analazimika kumsalimia Diamond “SHIKAMOO” Hata Kama Umemzidi Umri

Shikamoo kwa wimbo wakipumbavu hivi?kweli???punguza bangi
 
Habarini.

Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “SHIKAMOO” Hata Kama ninamzidi Umri.

Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.

Hili Ni Bonge Moja La Sebene kwa Kila Mpenda Sebene Analazimika kumsalimia Diamond “SHIKAMOO” Hata Kama Umemzidi Umri

👍👍👍
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom