Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 4,913
- 12,987
Well firstly nichukue nafasi huu kumpongeza diamondplatnumz kwanza kuwa nominated ni jambo kubwa saana @betawards inatazamwa saaana Duniani kitendo Cha ulimwengu kusikia tu jina la diamondplatnumz from Tanzania ni hatua kubwa saana na nadhani ndio Mana tumeona baadhi ya mastaa kuanza ku follow page yako siku ya Jana means Ina positive impact kwako direct kabisa.
Lakini hongera zaidi kwa kwa muonekano ambao ulitengeneza Jana kupitia vazi la kimasai I'm very much sure kwamba ulikuwa kivutio na jambo ambalo Kama msanii inakuongezea thamani kubwa.
Pia pongezi za mwisho now umevuka stage ya kushindanishwa hapa Tanzania kwa hatua ya kushindanishwa na wasanii wakubwa Kama @burnaboygram Wizkidayo kina davido hiyo Ina maana hizo ndio level stahiki kwako kwa Sasa
Back to the main point kuhusu tuzo ambayo kashinda @burnaboygram dhidi ya Wizkidayo diamondplatnumz na wengineo.
Kifupi ni kwamba sio diamondplatnumz hata davido na Wizkidayo wako kwenye mtihani huu mzito kwa sababu nyuma ya tuzo hizi anazoshinda @burnaboygram Kuna 70% ya mchango wa diddy ambaye kwa entertainment industry Duniani anaheshimika Sana na mbaya zaidi huyu jamaa ni mfanyabiashara.
Mnakumbuka mwaka 2016 mshindi wa @betawards alipokuwa ni jamaa anaitwa #BlackCoffee ambapo ulimwengu mzima tulishangaa ameshindaje mbele ya vigogo Kama #Diamond #Wizkid #AKA #yemialade basi Siri kubwa ni kwamba ushindi wake aliupata kutokana na ushawishi wa diddy ambaye ni Member mkubwa saana kwenye management ya @betawards
Na kifupi wakati huo @realblackcoffee alikuwa anafanya kazi na diddy wakati alipokuwa aanaandaa documentary yake inayoitwa "I can't stop won't stop"
Fikiria Kama diddy aliweza kushawishi mtu asiye na jina kubwa akashinda tuzo hizo atashindwa kutumia nguvu hiyo kufanya @burnaboygram ashinde wakati yeye kasimama Kama Main producer kwenye album ya "TWICE AS TALL"
Kifupi diddy anapambania biashara yake kwa sababu anapata faida direct kutoka kwenye kazi za @burnaboygram na ndio maana anampambania kuhakikisha ana dominate vizuri kabisa industry ya entertainment kwa Sasa na ndio Mana toka wameanza kufanya kazi hata Wizkidayo na davido wamekuwa hawashindi tuzo kubwa Kama yeye.na inasemekana diddy yupo tena studio na burnaboy kutengeneza album nyingine .
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app