Diamond Platnumz kuhudhuria miaka 20 ya Jide Mlimani

warumi

R I P
May 6, 2013
16,298
2,000
Kupitia ukurasa wake wa Instagram , mwanamuziki lady jaydee amepost list ya wageni waliobook VIP table kwenye siku yake ya kusherekea miaka 20 toka aanze muziki , ambayo inafanyika wiki hii tarehe 4 pale Mlimani City.

List yenye utata kabisa imeangukia kwa Diamond ambapo awali hawakuwa na mahusiano ya kihivyo na jide , huku wadhamin wa event hiyo ni clouds media ambao pia ni maadui na domo kwa sasa. Mbona ijumaa kutanoga, wambea tuwahi meza za mbele turekodi matukio, mastaa wakijamba tu tunapost

Naona hii event itakua ni event ya aina yake , ukizingatia idadi ya wagen waalikwa na watu mashuhuri walio buy ticket kuhudhuria kwenye event hiyo

IMG_6891.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom