Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Wewe wewe si ulishasemaga kuna G-Wagon za kichina zinatumiwa na jeshi hapa bongo kwenye ule uzi wako wa Volkswagen?..au nimechanganya?.
Hapana sio g_wagon mkuu
Ipo hivi magari huwezi kukopi maana utashikwa kwenye lawsuits sooo vitu vitakavyokopiwa most of the time itakua design kwa mbaali ifananie ila sio hadi jina

Kuna kipindi l.rover waliwadaka wachina walikopi gari yao ya discovery kidogo kwa mbele ila wakakamatwa na wakalipa fine so hio g.wagon yenyewe inayoongelewa haifananii kabisa na O.G ila kwa watu ambao sio car enthusiast lazima utachanganya

Cha msingi ni kua hamna cullinan feki
Bora hata ingekua i.s.t feki

Rolls royce ya kwanza ya suv hata RR wenyew wangeshamshukia kama mwewe mondi
 
kapigwa Ban.. naona hapendi watu wanafiki sana.. hii nchi witnessj hata siku umevuta X6 yako watu watasema unauza chini.. watu hawana maana kabisa.. wana kela roho mbaya mbaya tu
Ukitaka kujua mtanzania roho yake embu pata mafanikio kidoogo ...

Yaan ukitaka kujua mtanzania analoga bila kupaa, pata kitu ambacho hana utajua hujui

Mimi nawaona tu kitaa, mtu anakuchukia tu bila sababu ha ha ha
 
Ukitaka kujua mtanzania roho yake embu pata mafanikio kidoogo ...

Yaan ukitaka kujua mtanzania analoga bila kupaa, pata kitu ambacho hana utajua hujui

Mimi nawaona tu kitaa, mtu anakuchukia tu bila sababu ha ha ha
Inasikitisha sana, ila acha tupambane. Dawa ya wenye roho mbaya ni kuwanyoosha tu kwa vitendo.. ni kama kelele za chura tu hizo
 
Hii tairi watu wanadai kipara sijui picha wameikota wapi.
View attachment 1854387
Muwe mnaangalia na aina ya nguo za kuvaa na mauombo yenu
Screenshot_20210715-162651.png
Screenshot_20210715-162744.png
 
Account zao insta si unazijua nenda kawambie, mimi kuhusu uvaaji wao haunihusu, wewe kama unakukera wana Account insta waambie,husikae na kitu moyoni utajitengenezea presha.
Usipanic dada angu. Ni maoni tu huko uliko itoa kawaambie bahati nzuri majina yenu siyajui pia
 

Similar Discussions

21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom