Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,762
- 16,972
Tangazo kama linavyo onekana hapo chini! Tunamsubiri Kiba nae atoe ajira..
Kiba atoe ajira Mara ngapi, wafanyakazi wake Ni Wema na Joketi. Sema hizi ajira za kuombea kwenye WhatsApp hizi, mpya.
T
Technology imekua sana . documents ulizoweza kuzi tuma kwa posta na au emails Leo unatuma kwa Whatsap au Telegram.