Diamond Platinumz: Kijana alietikisa mwelekeo wa muziki Tanzania kwa muongo mmoja sasa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Ukweli ni kwamba mnyonge mnyongeni asilimia zake mpeni...kijana Naseeb Abdul ametikisa muelekeo wa muziki nchini Tanzania kwa muongo mmoja sasa.

Apongezwe kwani ameiweka ramani ya Tanzania kwenye entertainment map ya Africa na ametengeneza ajira lukuki kwa vijana kuanzia kwenye muziki hadi media investments.

Tuwe wakweli hakuna mwanamuziki ambae ameya- impact maisha ya vijana wenzake kwa namna chanya kama Platnumz...pamoja na mashaifu yake.
 
Aisadie nchi kuleta fedha za kigeni

Wenzetu wasanii wamarekani wanaingizia nchi yao fedha za kigeni tilion mia tano kwa mwaka
 
Ukweli ni kwamba mnyonge mnyongeni asilimia zake mpeni...kijana Naseeb Abdul ametikisa muelekeo wa muziki nchini Tanzania kwa muongo mmoja sasa.
Apongezwe kwani ameiweka ramani ya Tanzania kwenye entertainment map ya Africa na ametengeneza ajira lukuki kwa vijana kuanzia kwenye muziki hadi media investments.
Tuwe wakweli hakuna mwanamuziki ambae ameya- impact maisha ya vijana wenzake kwa namna chanya kama Platnumz...pamoja na mashaifu yake.
 
hakika MKUU, ukipinga unaroho ya kutu

Kuna wale shilawadu wa clouds fm kazi yao nikumponda tu mond wetu jamani, yaani ukisikia habari ya mond kwao ujue yakumpomnda tu

Ila ukweli mond ni shigidiiiiii
 
Ukweli ni kwamba mnyonge mnyongeni asilimia zake mpeni...kijana Naseeb Abdul ametikisa muelekeo wa muziki nchini Tanzania kwa muongo mmoja sasa.

Apongezwe kwani ameiweka ramani ya Tanzania kwenye entertainment map ya Africa na ametengeneza ajira lukuki kwa vijana kuanzia kwenye muziki hadi media investments.

Tuwe wakweli hakuna mwanamuziki ambae ameya- impact maisha ya vijana wenzake kwa namna chanya kama Platnumz...pamoja na mashaifu yake.
Diamond
 
Mkuu kwa hili ni sawa na naunga mkono hoja. Tunapenda vitu kama hivi kuwaweka juu wasanii wetu kwa kazi nzuri wanazo fanya sio kuleta mada za kupambanisha wimbo wa kiba na mboso.
 
Back
Top Bottom