Diamond platinumz apigwa madongo vibaya sana na baby madaha!

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
MSANII filamu na muziki wa kizazi kipya wa Tanzania Baby Joseph Madaha maarufu kwa jina la (Baby Madaha) amesema kwamba msanii mwenzake wa muziki nchini,Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz si msanii bali ni mfanyabiashara.
Madaha amesema kwamba Diamond si mwanamuziki na kwamwe huwezi kumlinganisha na msanii kama Barnaba Boy, anayefanya muziki kama sanaa na kazi kulingana na kipaji chake na kwamba Diamond si msanii wa muziki bali ni msanii ngono anayefanya biashara ya muziki kupitia mapenzi.


Baby madaha ambaye hivi sasa yuko nchini Kenya kwa shuguli za muziki amesema kwamba, Diamond hajui kuimba na ndiyo maana amekuwa msanii wa matukio huku nyota yake ikiegemea kwenye mapenzi na wasichana wenye majina makubwa hususn wasanii.
Akizungumza na kandili yetu katika mahojiano maalum leo baby Madaha alisema kwamba, “Binafsi niliposikia kwamba Diamond anaumiza kichwa kunasa penzi la msanii Elizabeth Michael maarufu kwa jina la (Lulu) sikushangaa hata kidogo. kwa sababu nilitambua kwamba soko lake la muziki limeanza kushuka hivyo lazima atafute eneo lingine la kujiimarisha kibiashara, ili jina lake liendelee kuwika”.

“Siku wanawake maarufu nchini Tanzania watakapo jitambua na kuacha kulewa penzi la Diamond ndiyo itakayokuwa mwisho wa maisha yake kimuziki,kwa sababu hatakuwa na jipya na hivyo soko lake litaanza kuporomoka”alifafanua Baby Madaha.
 
mademu wote waliokuwa wanampiga madongo diamond akiwemo penny na Irene uwoya,Diamond aliamua kuwapitia si ajabu mkisikia Diamond kamgegeda uyo baby madaha
 
Baby madah korogo limekuharibu shavuu...jikubalini jamani
sasa anataka diamond atoke na nani,huoni ht kna beyonce na jiga,brad na jolie ,kimye,n.k,pipo date pipo with similar lifestyles
 
kama dogo mfanyabiashara poa sana, nao wanafuata mtonyo wake.....
 
Baby Madaha kama Changudoa simpendiiiii toka moyoni nasema mbona ye anauza funyox kenya watu wamekaushaa aende kuzimu huko nyau!!!
 
Kuna shilole, snura, na huyo baby madaha hawajui mziki hata kidogo wao wanajua kutingisha matko na kunyonywa matiti tu kwenye stage huku kwa wenzetu wana pata hela kwenye shoo wana invest kwenye miradi mbalimbali wamwache dimond dogo kaja kutafuta hela
 
Huo wivu sasa kwani yeye anafanya muziki fashion haoni wakina 50 cent,jay z,P diddy kibiashara zaidi.
 
Back
Top Bottom