Diamond Platinumz amuimbisha kiswahili mchezaji wa Manchester City

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,761
Ni Bony Wilfried mchezaji wa Manchester City anayecheza kwa mkopo katika club ya Stoke City. Angalia hii clip ya Instagram kutoka kwenye verified account yake.
 
Kwani ajabu nini?
Mbona mi naimba album nzima ya 50 Cent get rich or die trying na ya Jiga blue print zote na hata kidato cjatimba n yet ni chalii tuu ya hapo Ngarinanyuki.
 
"mi nishamuimbisha christiano ronaldo sema tu sitaki show off!" -King:D
 
Ni Bony Wilfried mchezaji wa Manchester City anayecheza kwa mkopo katika club ya Stoke City. Angalia hii clip ya Instagram kutoka kwenye verified account yake.

Inaonekana ni fan mkubwa wa Diamond, kwani alisharusha video akicheza wimbo wa Diamond na Khadija Kopa
 
Kwani ajabu nini?
Mbona mi naimba album nzima ya 50 Cent get rich or die trying na ya Jiga blue print zote na hata kidato cjatimba n yet ni chalii tuu ya hapo Ngarinanyuki.
we ni nani
unachezea man city ??
 
Huyu dada ni make-up artist anaishi Texas Marekani, kwenye hiyo saloon anayo fanyia kazi ni wapenzi wakubwa wa nyimbo za diamond zaidi ya wabongo waliopo hapo nyumbani, huyu dada ananitumia nyimbo za diamond nyingine hata sikuwa nazifahamu

Kuna nchi nyingine za ulaya diamond anafuatiliwa nakupendwa kama wabongo wavyo mfuatilia kanya west au jay z
15078925_117078212109297_8376846080969568237_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom