I23
New Member
- Nov 5, 2012
- 3
- 0
Taswira wa kwanza inamuonyesha Platinumz akila breakfast / brush huko US ikijumusha BACON kwenye menyu. Bacon (ˈbākən) inatengenezwa kwa Kiti Moto. Inatambulika kama ("Cured meat from the back or sides of a pig..."). Kama bado hujaelewa ni vile vinyama vilivyokaushwa na kuwekwa chumvi nyingi... Ni hivyo vipande viwili vinaonekana karibu na soseji.
Taswira ya pili ni 'Ustazi' Platinumz akila IDI Tandale...!!
Ushamba jamani, wee acha tu....!!
7th December 2012 01:52
Taswira ya pili ni 'Ustazi' Platinumz akila IDI Tandale...!!
Ushamba jamani, wee acha tu....!!
7th December 2012 01:52