Diamond platinumuz hawa wanamziki wako sio

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,036
9,951
Huyu mpiga drums anafaa kupiga punda na sio drums, huyu mpiga solo bora hata umtafute nape, kwa hadhi yako ajiri wakongoman na madensa kutoka africa ya kusini, bora ukafanya show mbili za ukweli kuliko kubangaiza na wabongo.

Sauti kama ya chura umesahau
Umemuona ras mond ?
1480217587126.jpg
 
Huyu mpiga drums anafaa kupiga punda na sio drums, huyu mpiga solo bora hata umtafute nape, kwa hadhi yako ajiri wakongoman na madensa kutoka africa ya kusini, bora ukafanya show mbili za ukweli kuliko kubangaiza na wabongo.

ENDELEA NA RAMLI MKUU
 
Mkuu huo ni mwanzo watakuja tu kuwa vizuri unataka vijana wa kibongo wakose ajira hapo wageni ndio wapate sio poa hiyo!
ndio maana nikasema aanze na hao wanaojua kazi zao kuliko kuharibiana biashara, angemchukua Dalli Kimoko wangeendana kabisa, pia wale madensa wa Godfarther aliokuwa nao kwenye wimbo wa Kidogo kidogo niwazuri sana, hebu ona hii show ya Malawi hao madensa sio kabisa
 
awachukue hao wanaojua ili iweje! hao wake watazoea lini!?

ukiisikiliza hiyo live band kwenye vipisi vingine bonge moja la band chini ya sound engineer tudy,sio kama ile mliyozea ya THT
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom