hayo sasa majungu sema akijitahidi kufanya mazoezi sauti itakaa poa!Sauti kama ya chura umesahau
Umemuona ras mond ?
View attachment 440077
Huyu mpiga drums anafaa kupiga punda na sio drums, huyu mpiga solo bora hata umtafute nape, kwa hadhi yako ajiri wakongoman na madensa kutoka africa ya kusini, bora ukafanya show mbili za ukweli kuliko kubangaiza na wabongo.
Umemuona ras mond ?
View attachment 440077
ndio maana nikasema aanze na hao wanaojua kazi zao kuliko kuharibiana biashara, angemchukua Dalli Kimoko wangeendana kabisa, pia wale madensa wa Godfarther aliokuwa nao kwenye wimbo wa Kidogo kidogo niwazuri sana, hebu ona hii show ya Malawi hao madensa sio kabisaMkuu huo ni mwanzo watakuja tu kuwa vizuri unataka vijana wa kibongo wakose ajira hapo wageni ndio wapate sio poa hiyo!