Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,456
- 1,933
Mimi ni shabiki mkubwa wa muziki wa Bongo Flava haijalishi Hip Hop ama kuimba.
Wote kwangu ni wasanii na siwabagui.
Ni ukweli usio fichika kuwa kwa sasa huko tz nchini mwangu msanii Diamond ama Nasbu,ni moja ya wasanii alioko midomoni mwa watu na vyombo vingi vya Habar kutokana na sababu mbalimbali kiwa ni pamoja na kufanya vizuri katika muziki.
Nimekuwa nikifuatilia muziki wa msanii Huyu(diamond)tangu huko mlaka anapokuwa huku Ughaibuni kusganya shoo(simaanishi niko uingereza ama marekani).
Kwa mtazamo wangu msanii huyu ana mazuri na mabaya kama ifuatavyo..
Mazuri:
1.Ni msanii anayejituma kwa bidiii sana kufanya musiki na kubuni kila siku ili kuweza kumentain na kukaa katika game kwa muda mrefu. Miaka minne sasa.
2.Hajihusishi na starehe sisizo kuwa na msingi,na hutunza kile akipatacho kutokana na shoo zake.
3.Hajikwezi sana na kiona yuko juu na kuwadharau wengine,bali hujinyenyekeza kwa kila akutanaye.
4.Hujali na kujitahidi kufanya maendeleo kwa kadri ya uwezo wake na pia mungu humbariki katika hili.
5.Hukubali kutumia ghalama nyingi ili kufanya shoo iliyo bora.na hivo huvuta hisia za wengi kwa ubunifu na mavaz yake.
6.Hana pozi kwa mashabiki ama waandishi wa habar na husema kwel kila anachoulizwa kama kinaukwel huwa muwaz.
7,.Hana majigambo na dharau kama wasanii wengine ambao hufikia hatua aliyopo.
8.Hana makundi ya kihuni na magenge ambayo hupika majungu na mwisho wa siku kummaliza msanii pole pole.
9.Hujituma akiwa jukwaani na hivo kufanya apendwe kila mahali.
Baada ya kusema hayo naomba sasa niseme mabaya yake ambayo binafsi siyafurahiii na kama akibadiljka kwa haya basi atakuwa msanii mzuri zaidi ya sasa.
Mabaya.
1.Kitendo cha kupiga picha na kuweka mtandaoni kila mara na kila anachofanya sio sahihi kwa msanii.sio lazima mashabiki wajue mambo yako ya ndani hasa ya.wapenzi na maisha ya kila siku.haya huyafanya hasa mwenye website yake kila mara.jaribu kuwa adim maana watu watakuzoea sama na kukuona wa kawaida em kuwa adim kidogo ili mtu akisikia diamond awe na ham.ya.kujua nini kimetokea.
2.Chunga sana mahusiano yako ya.kimapenzi na kamwe usimdhalilishe mwanamke hata kama hauko nae kwa wakat huo.rejea kitendo cha kumrekod wema
3.Usipende sana kujiweka cheap kwa vyombo vya Habar,kwamba kila anaye kuja we unamwambia mambo yako ya.ndan.narudia jaribu kuwa adim.
4.Usitumie muda mwingi kuwaongelea wapinzani wako maana wataona kwamba inakuuma kile wanachosema jitahidi kupotezea kama hujasikia.
6.Usiwe dhaifu kwa akina dada kiasi cha kuwaparamia kama vile huamini kwamba we ni staa na unastahili
7.Usipende kuzungumzia mahusiano yalopita ukizingatia una mpenzi mwingine.Sahau na funhua ukurasa mpya usionekane kwamba limbukeni ama ilikuuma sana kumwacha.
9.punguza kujianika sana katika Web site yako ya ''this is diamond'' kwa kila unalofanya.
Ni hayo tu tofauti na hapo jitahidi kushirikiana na wasanii wenzako.
Mnaruhusiwa kukosoa ama kuongezea kitu wana jamvi