Diamond na Rick Rosse ngoma imeshakamilika...

Mwanamke halindwi kwa silaha.

Nimetoa angalizo tu Mkuu!

Maisha ni kuamini na kuaminiana! And trust is a choice, and i chose to trust her a long time a go.. So no worries here!!

Ila kuwa na gun pia nako si vibaya! You never know when it might come in handy
 
Nakupendea vingi ujue?
 
hula hela peke yako ndugu ww ndiye mpigadili mwenyewe, sisi wenye mawe yetu acha tuka mwemweleke tu kwa ako ka laki moja
 
Eddy nimecheka sana.

Hii ya Ne-Yo imeshabuma tayari.
WCB wanahangaika kuufanyia promo kinoma,yenyewe leo bae kanitumia
iTunes haununuliki basi imebidi wanunue wao wausambaze
ha ha ha walidhani wakifanya na neyo watajurikana mpaka Marekani kumbe Tandale
 
Unaweza kuingia iTunes na kuinunua right now!

Video imekamilika anytime tunaidondosha.. Release tumepeleka mbele kidogo baada ya tour ya UK na Ne-Yo kusogezwa mbele.. But stay tuned
ha ha ndo wimbo wa kununua iTune??????
 
Nimetoa angalizo tu Mkuu!

Maisha ni kuamini na kuaminiana! And trust is a choice, and i chose to trust her a long time a go.. So no worries here!!

Ila kuwa na gun pia nako si vibaya! You never know when it might come in handy
Pamoja mkuu. Best of luck.
 
Back
Top Bottom