Diamond na Manara msimu huu wanazurura tu Ulaya tutarajie nini?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,124
11,113
Inawezekana hawa watu wamekosa washauri katika kipindi hichi kibaya cha mlipuko wa corona, Manara kaanza ziara Spain hadi france anaonekana akizurura tu na sasa kaelekea Ubelgiji, Diamond nae yupo ulaya amaendelea na ziara zake za mziki akiwa na crew yake nzima katika kipindi hichi ugonjwa wa Corona umeshika kasi Ulaya

Ikumbukwe watu waliouleta huu ugonjwa kwenye baadhi ya nchi za africa ni wale waliofanya ziara barani ulaya na kurejea africa, hata mkenya aliyetangazwa leo kuwa ana Corona alitokea London akarudi kenya na huo ugonjwa

Ni muda muafaka sasa wa watu kujitafakari kama wana umuhimu wa kufanya ziara za nnje kipindi hichi kigumu la sivyo watarudi na huo ugonjwa kutuambukiza na sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20200313-113303.jpeg

Mziki gani aliokwenda kufanya huko Ulaya kipindi hiki ambacho mikusanyiko imezuiwa?
 
Ongeza na Lady jaydee,mara yupo France,mara swiss,mara Germany.Hawa lazima wachume janga huko na kutuletea tule nao.Ila mimi nawaambia nimeshiba hilo janga sitakula nao
 
Back
Top Bottom