Diamond muombe msamaha mzee Abdul la sivyo huu ndo mwisho wako

Nahisi wakati wake umepita. Wabongo husema hana swaga tena.
Ameshafanya mengi kiasi sasa hakuna analofanya likawashtua watu.
Hii ni kawaida na ndio maana unaona akina Diddy, Usher, 50 cent, Eminem, Akon, R.Kelly(mfungwa) nk,, wale wakongwe wanapotea wanaibuka akina Card b. Ndo maisha.
 
Acha unafki basi...kwaiyo Iyo imebuma? Naanzaje imebuma? Pepeta imebuma? Hyo BeT kua nominated tu nako kubuma? Zile cardlilac ,RR nazo ni kubuma? Mlisema jamaa kapotea tangu 2012..leo 2021...tafuta hela mkuu chuki ikutoke.. mwanaume unaanzaje Diss kidume mwenzio?
zimebuma siyo kama tulivyozoea ,sasa hivi kwa hit songs kapitwa na madogo kama kina Mario wanakimbiza,harmonize naye ni balaa .Tunazungumza ukweli diamond kimziki ameshuka si kama mwanzo
 
Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond.
jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama mshumaa.
Hayo yote ni laana ya mzee Abdul, ulimuaibisha sana yule mzee naona Mungu anaanza kukukumbusha kuwa always sikio halizidi kichwa.
Usiposhtuka mapema kuomba msamaha kwa huyu mzee huu ndo utakuwa mwisho wako na ndo litakuwa angulo lako officially.
Shida ya domo akili yake yote imetekwa na mama yake amesahau kuwa mzee Abdul kamlea,kuna maaana gani unamg'ang'ania baba yako halisi ambaye hajakutunza na kumwacha yule aliyekuasisi, mwanaume kusikiliza sana maneno ya mwanamke hata kama ni mama hatima yake nawe unakuwa na tabia kama mwananmke au mama yako, ugomvi wa mama na baba yako aliyekulea unakuathiri vipi mtoto uliyelelewa, ajabu sasa Shamte ndie kila kitu wakati kadandia tu lori lenye pesa.Wanaume wa Tandale taabu sana.
 
Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond.
jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama mshumaa.
Hayo yote ni laana ya mzee Abdul, ulimuaibisha sana yule mzee naona Mungu anaanza kukukumbusha kuwa always sikio halizidi kichwa.
Usiposhtuka mapema kuomba msamaha kwa huyu mzee huu ndo utakuwa mwisho wako na ndo litakuwa angulo lako officially.
Huyo mzee wakti anamdhalilisha chibu kua hamsaidii,kazunguka online tv zote kusema hasaidiwi...wakimpa 50 elfu huyo anaruka hewani na kumchafua,akitoka hapo anaenda kukaa bar n kunywa
 
Nahisi wakati wake umepita. Wabongo husema hana swaga tena.
Ameshafanya mengi kiasi sasa hakuna analofanya likawashtua watu.
Hii ni kawaida na ndio maana unaona akina Diddy, Usher, 50 cent, Eminem, Akon, R.Kelly(mfungwa) nk,, wale wakongwe wanapotea wanaibuka akina Card b. Ndo maisha.
Kusema wakati wake umepita ingali hamna Msanii aliye juu yake si sawa,Atashuka mda wake ukifika
 
Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond.
jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama mshumaa.
Hayo yote ni laana ya mzee Abdul, ulimuaibisha sana yule mzee naona Mungu anaanza kukukumbusha kuwa always sikio halizidi kichwa.
Usiposhtuka mapema kuomba msamaha kwa huyu mzee huu ndo utakuwa mwisho wako na ndo litakuwa angulo lako officially.
Mambo ya kizamani haya. Unawezaje kukaa tu na kuanza kukonekt mambo ya kufikirika na kuja kuyachapa hapa? Je, mbona mimi nilikuwa na kibanda cha chips, nimepinduka chali , sasa hivi ninaokota zangu chupa tupu (lakini sijakaa kichizichizi)? Mbona sijawatusi wala kuwadhalilisha wazee wangu? Tena ninaishi nao vema tu? Na mimi nimelaaniwa na nani?

Hebu tuache watu waishi maisha yao,tuache wivu!
 
Since 2010 tunaambiwa Sadala ndiyo basi tena, this is 2021 kila akitoa wimbo unakuwa namba moja on trending kwenye You Tube kwa Tz na Kenya. Digital platforms zote ndiyo msanii anayeongoza kwa mauzo Tz, haters obviously wanateseka sana lakini dogo anazidi kufanikiwa na kibongobongo katika generation hii ya artists hakuna hata atakayekaribia mafanikio yake katika tasnia ya muziki.
 
Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond.
jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama mshumaa.
Hayo yote ni laana ya mzee Abdul, ulimuaibisha sana yule mzee naona Mungu anaanza kukukumbusha kuwa always sikio halizidi kichwa.
Usiposhtuka mapema kuomba msamaha kwa huyu mzee huu ndo utakuwa mwisho wako na ndo litakuwa angulo lako officially.
Kuwa Baba sio kuzaa tu,baba ni malezi,
Kwanza hakuna kitu kama laana,kama ipo basi Mond,ilibidi asiwepo,angeiishia kwenye umaskini,chokolaa,may be angekuwa kama vijana wengine wa bodaboda,
Aliyeanza kumtendea mwingine ubaya ni nani,Mond,au Baba yake?
Je Nasib Abdul asingefika hapo alipo kuwa Diamond,hizi kelele za Baba yake zingekuwepo?Huyo Dingi anavuna alichopanda.
Ukisema Diamond anashuka kimuziki,kwa vile tu amemdharau dingi yake,na wewe utakuwa kama waumini wa mwamposa na gwaji boy wasio na akili!mambo ya muziki yana ufundi wake,
Na sababu kwanini wimbo haujavuma,au kipindi fulani hakijafanyika ni mambo ya kiufundi tu,has nothing to do with that African belief crap?
Huku Afrika,tunaamini Israel ni nchi teule,Taifa la Mungu,ukilisema vibaya,una laaniwa?!!sasa Mbona Wajerumani walioua waisrael milioni na zaidi nchi yao imebarikiwa,ndio nchi tajiri ulaya,?hizo laana zipo wapi mbona haziwapati?
 
Nahisi wakati wake umepita. Wabongo husema hana swaga tena.
Ameshafanya mengi kiasi sasa hakuna analofanya likawashtua watu.
Hii ni kawaida na ndio maana unaona akina Diddy, Usher, 50 cent, Eminem, Akon, R.Kelly(mfungwa) nk,, wale wakongwe wanapotea wanaibuka akina Card b. Ndo maisha.
Afadhali ww ndo umeongea point kidogo kuliko hao mazwamwamwa wa wachafu kuoga
 
Kuwa Baba sio kuzaa tu,baba ni malezi,
Kwanza hakuna kitu kama laana,kama ipo basi Mond,ilibidi asiwepo,angeiishia kwenye umaskini,chokolaa,may be angekuwa kama vijana wengine wa bodaboda,
Aliyeanza kumtendea mwingine ubaya ni nani,Mond,au Baba yake?
Je Nasib Abdul asingefika hapo alipo kuwa Diamond,hizi kelele za Baba yake zingekuwepo?Huyo Dingi anavuna alichopanda.
Ukisema Diamond anashuka kimuziki,kwa vile tu amemdharau dingi yake,na wewe utakuwa kama waumini wa mwamposa na gwaji boy wasio na akili!mambo ya muziki yana ufundi wake,
Na sababu kwanini wimbo haujavuma,au kipindi fulani hakijafanyika ni mambo ya kiufundi tu,has nothing to do with that African belief crap?
Huku Afrika,tunaamini Israel ni nchi teule,Taifa la Mungu,ukilisema vibaya,una laaniwa?!!sasa Mbona Wajerumani walioua waisrael milioni na zaidi nchi yao imebarikiwa,ndio nchi tajiri ulaya,?hizo laana zipo wapi mbona haziwapati?
Kumbuka sikio halizidi kichwa, mtoto ni mtoto tu huwezi shindana na mzazi hata siku moja utaambulia laana tu, kama anazo pambana nazo mzee sadala.
 
Unapata tabu na Sadala,mtu katoa nyimbo moja ila ndani ya wiki tu.
Screenshot_20210910-065854_Instagram~2.jpg

Screenshot_20210910-065828_Instagram~2.jpg

Screenshot_20210910-065800_Instagram~2.jpg
Screenshot_20210910-065559_Instagram~2.jpg

Tunatamani kuyakubali maneno yako, ila number zina kuumbua.

Youtube tokea mwaka uanze yeye ni no 1 ,streams zaidi ya 30+ kila mwezi na digital platforms karibia zote kwa Africa Mashariki na kati yy ni number 1.

Kuna msanii wenu mnayempaka mafuta kwa mgongo wa chupa show zake US aibu, anashindwa hata kupost,bora angebaki tu aandae show kama Nandy.

Sadala zinazomweka juu ni Number ndio maana hizo chuki zenu kwa miaka zaidi ya kumi hazijawahi kumshusha.
 
Unapata tabu na Sadala,mtu katoa nyimbo moja ila ndani ya wiki tu.
View attachment 1931356
View attachment 1931355
View attachment 1931354View attachment 1931353

Excellent answer with facts akikujibu nitag
 
Umeamua kumwaga data(solid facts), hizo ni silaha za maangamizi we jamaa hauna huruma kabisa kwa hater huyu.
Blah blahs ukizijibu kwa hard facts either utamkimbiza mtu au autamsababisha ajichanganye kwa ngonjera zisizo na kichwa wala miguu.
 
Akulaani Baba ambae kila alikuwa akimuona anakutimua 'kamtafute Baba yako'. Ukisikiliza maneno ya Diamond utajua ni kiasi gani Yule Mzee alimuumiza kijana. Anadai alimkubali Sana Mzee Abdul kuliko Baba yake muuza Mchele. Mzee Abdul alikuwa na uwezo lakini alijitahidi kumweka mbali kwani alikuwa si mwanae. Mzee Abdul akubali
Matokeo kwani aliyatengeneza mwenyewe hakujua Nasibu itakuja kugeuka kuwa dhahabu.
 
Back
Top Bottom