Diamond Mpaka mapodaaa...!!!

JosephElly

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
1,034
Haya sasa... Mpaka mapowder amejulikana
, hii ndio shida waipatayo wauza sura
74770_507423602615830_34516817_n.jpg
 
Hiyo ndo shida wanayopata hawa wauza sura... Sasa hapo ameotewa leo
 
Situmii mchina lakini hizi picha sizioni jamani labda wenzangu mnatumia program gani? Nina kitu kinaitwa Siemens Fujitsu made in Gortenburg German kwenyewe.
 
Wasanii wa bongo yani wanaishi kimaigizo, kama sio mkorogo basi ndo hayo. Lakini silaumu hata MJ nae mambo yalikuwa hivyo, mwanaume full makeup
 
Situmii mchina lakini hizi picha sizioni jamani labda wenzangu mnatumia program gani? Nina kitu kinaitwa Siemens Fujitsu made in Gortenburg German kwenyewe.

Haikupasi quality test hiyo :). Sometimes it happens to me also
 
anatafuta bwana
masharti yake ni kama ifuatavyo;-
-awe ni mrefu na mnene sana chini ili amridhishe
-awe na DOMO kubwa kama chaijaba au kama yeye DOMOND ili wakati wa romance wawe sawa
-awe ni form IV failure kama yeye
-aweze kutunza siri asije akamuumbu kuwa yeye ni MCHOKO-zi

vigezo na masharti kuzingatiwa
NB;WANAODHANI WANAVIGEZO HIVYO WAWASILIANE NA MCHOKO-zi MWENZIE BOB JUNIOR KWA AJILI YA USAHILI AMBAO UTAKUWA PRACTICAL KWENYE GEST YOYOTE TEMEKE
 
Huyu jamaa hafai kesho atavaa chachandu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
You ******, life's too short to waste time hating someone. You better look for something to do to make money so you can make those beautiful girls like Wema & Toto Dinke get naked. F*ck you haters. TEN YEARS FROM NOW HE WILL STILL BE ON TOP. This is the dedication for you haters Biggie Smalls-Mo Money Mo Problems - YouTube.
 
khaaaa... Wapi imeandikwa Diamond anachukiwa? Chunga kauli zako kijana
 
khaaaa... Wapi imeandikwa Diamond anachukiwa? Chunga kauli zako kijana

I can see. Wewe ni mmoja wa wale watu ambao ukifukuzwa ni hadi mtu akwambie TOKA ndo unamwelewa. Chunga thread zako kijana.
 
I can see. Wewe ni mmoja wa wale watu ambao ukifukuzwa ni hadi mtu akwambie TOKA ndo unamwelewa. Chunga thread zako kijana.

Nadhani akili ni Nywele.... Na nahisi kuna watu si tu kuwa wana vipara bali hata vichwa hawana...
 
Back
Top Bottom