Diamond LIVE @ Dar Live Mbagala - Hii ni sahihi kweli?

Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,710
291
Wadau nilikuwa nikitokea kwenye harakati zangu binafsi nikirejea kwangu,muda niliokuwa napita Mbagala maeneo ya Dar Live ni muda ambao Helicopter iliyokuwa imemchukua Super Star wenu Diamond ilikuwa ikirandaranda hewani,nikiwa bado nasota kwenye foleni Super Star wenu akashushwa dizaini akaingizwa kwenye Benz nyeusi ikisindikizwa na Deffender 2 za Polisi,1 mbele ikimsafishia njia kwa king'ora,katikati BENZ iliyombeba yeye na nyuma Deffender nyingine ile inayobebaga Polisi wale wa kusimama huku Polisi wengine kibao wakiwa njiani mpk nikashawishika kuamini pengine "Baba Mwanaasha" labda alikuwa akijiandaa kupita,kumbe Diamond....sasa hebu mnisaidie kunielewesha hivi ni sahihi kwa Jeshi letu kutumia resources zake kwaajili ya issue za "Nimpende nani" kweli?

Nawasilisha.
 
Hizo ndo kazi pekee ambazo polisi wetu wanaweza mkuu, kazi ambazo hazina tija kwa taifa, ni matumizi mabaya ya kodi zetu lakini tufanyeje!!!!! Hebu fikiria watu wanauwawa kila siku lakini huwezi kusikia Polisi wamekamata wauaji zaidi ya kumtishia mzee wa Majukwaani kuwa watamkamata lol! Bongoland ni full uozo ukifuatilia mambo yake lazima utazimia!!!!!!!
 
kutembea na polisi apart from ishu ambazo serikali inahusika, hata wewe unaruhusiwa chamsingi ni kulipia gharama zao na sababu utakazozitoa kule.........so usimshangae huyo bwana mdogo lazima amelipia tu, sisi huku mtaani kwetu kuna raia mmoja kila jumamosi asubuhi anaenda kibamba shambani kwake na king'ora na kurudi nacho jioni
 
Sheria zinaruhusu mtu yeyote kwenda jeshi la polisi kuomba escort kwa ishu yoyote ile...

Ila kibongo bongo lazima utoe hela ya mafuta na chakula kama hawa jamaa watakua out of worktime...

Kimsingi lazima jamaa kawashika kwa mkono wa kulia kidogo ndo maana wamekua na moyo wa kumpa escort bana...

"ukitaka kula lazima uliwe na wewe kidogo...BY SOFT BOI WA MAGOGONI"
 
hayo ndio tunayoyaweza watanzania... umesahau muzee wa farasi diamond jubilee???
 
kutembea na polisi apart from ishu ambazo serikali inahusika, hata wewe unaruhusiwa chamsingi ni kulipia gharama zao na sababu utakazozitoa kule.........so usimshangae huyo bwana mdogo lazima amelipia tu, sisi huku mtaani kwetu kuna raia mmoja kila jumamosi asubuhi anaenda kibamba shambani kwake na king'ora na kurudi nacho jioni

Wakuu tuwe wakweli, kwa hii Tz yetu hata kama huyo Daimond kalipa kiasi gani zitaingizwa kweli kwenye mapato yanaeleweka na kukaguliwa? Hazitatumiwa kodi zetu na halafu hizo za kina Diamond zikawa ndo shamba la bibi la wakubwa wa jeshi la polisi kujipatia mboga?????
 
Sheria zinaruhusu mtu yeyote kwenda jeshi la polisi kuomba escort kwa ishu yoyote ile...

Ila kibongo bongo lazima utoe hela ya mafuta na chakula kama hawa jamaa watakua out of worktime...

Kimsingi lazima jamaa kawashika kwa mkono wa kulia kidogo ndo maana wamekua na moyo wa kumpa escort bana...

"ukitaka kula lazima uliwe na wewe kidogo...BY SOFT BOI WA MAGOGONI"

hahahahaha.., hii kali asee..
 
'Kawashika kwa mukono ya kulia',......
'Ukitaka kula ni lazima nawe uliwe kidogo'!
Nimeipenda hii.
Utamjuaje kuwa ni star acpofanya hivyo?
Utatoaje hela kuingia kumwona akija kwa folen ya rangi 3?Mdjini schule!
 
Cloudz TV walikuwa wanaonesha LIVE! Hivi kazi za hawa wasanii zinakatwa Kodi kweli (Mapato yao)
 
Polisi wanaingilia kati issue kama hizi kwa maslahi ya Raia jamani, Tusielewe vibaya! Wamepima, wameona hapo issue ingeachwa iende kivyake, basi taharuki ingetokea, na hata maafa yangetokea, kwani huyo jamaa kama ulivyosema ni super star wetu, Hivyo huo msongamano uliokkuwa hapo ukimsubiri maana yake purukushani na mkanyagano usingekuwa wa kawaida. Refer Mazishi ya kanumba! Tatizo letu wa Bongo tumezoea kulaumu.... Kwa mfano polisi wasingekuwepo, na madhara yangetokea, basi tungejitokeza tena kulaumu kwamba polisi walikuwa wapi??
 
Kila mmoja anakula anapofanyia kazi! so kama ya mtende imewaangukia leo maafande heri yao, kama una ndugu yako afwande kamskilizie mitaa ya kilwa road kwenye ile bar yao ya bia za mafungu ila no glass!
 
Kwani wewe hujui kuwa Darlive ni ya baba Mwanaasha? Diamond anatumika kuwasahaulisha Wadanganyika kero zinazosaabishwa na serikali hii ya kidini.
 
Polisi wanaingilia kati issue kama hizi kwa maslahi ya Raia jamani, Tusielewe vibaya! Wamepima, wameona hapo issue ingeachwa iende kivyake, basi taharuki ingetokea, na hata maafa yangetokea, kwani huyo jamaa kama ulivyosema ni super star wetu, Hivyo huo msongamano uliokkuwa hapo ukimsubiri maana yake purukushani na mkanyagano usingekuwa wa kawaida. Refer Mazishi ya kanumba! Tatizo letu wa Bongo tumezoea kulaumu.... Kwa mfano polisi wasingekuwepo, na madhara yangetokea, basi tungejitokeza tena kulaumu kwamba polisi walikuwa wapi??

Ndo apewe escort? Na ving'ora juu? Anyway, ili nisiendelee kujipa stress inabidi niamini kua kalipia escort na hela zimeingia kwenye jeshi letu la polisi!
 
Kwani wewe hujui kuwa Darlive ni ya baba Mwanaasha? Diamond anatumika kuwasahaulisha Wadanganyika kero zinazosaabishwa na serikali hii ya kidini.

Na wewe umesema kweli kabisa, na upinzani ndio upo njiani kuuon'goa udini wakisaidiwa na wanasiasa waliotokea makanisani? na wafadhili wakuu CDU ya ujerumani au sio?
 
Mbona hata kamanda 'KOVU' aliupigia saluti mwili wa marehemu 'KAYUMBA'? au mmeshasahau? sasa kama bosi wako anafanya hivyo kwanini nao wasimuenzi?
 
tatizo hata ukitafuta risiti na mahali alipolipia hutapajua!

Jamani police escort iko wazi kwa raia yeyote unapohisi kuwa usalama wako uko mashakani. Hapa gharama zinazolipwa ni posho kwa polisi na kujaza mafuta ya kutosha kwenye magari yatakayohusika. Hakuna pesa inayoingia kwenye akaunti ya jeshi la polisi. Hakuna ubaya polisi kutumia raslimali za Taifa kwa kumlinda raia!
 
Back
Top Bottom