Diamond;Kupaka Wanja Suna...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Akihojiwa Na Mtangazaji DJ fety fetility shombe kwa njia ya simu kwenye kipindi cha Clouds Fm kinachoendelea sasa hv.(top 20 za clouds )

Yeye ni mtoto wa kiislamu,mtume mwenyewe alipaka wanja kama suna.

Watu waache kupeleka kila jambo afanyalo in Negative side.

Source;Clouds Fm
 
Hahaha. Sasa na wewe fetty fetility ndo nini? Ni fetilisious whatever it means.

Hongera zake, aige na matendo mengine ya mtume na sio wanja tu.
 
kwa hiyo ndani ni kupigana vikumbo kwenye kioo kupaka wanja mbona ishakua hatari
 
Afu huyu kijana mzuri mashaallah! Akipaka wanja anapendedha huyu!
Na vijidimpo vyake vya kishkaji aisey! Mwenye No yake anipatie atlist niwe namtumia walau vijivocha vya elfu 50 per week .
 
ASTAGHAFILULAHI X 3! ina maana ni huyu huyu mtume muhammad ninayemjua mimi ndo alikuwa akijipodoa kwa wanja!!? kama ni kweli itakuwa vema vijana na wanaume wa kiislam wachangamkie tenda ya hiyo sunna, itasaidia sana kuongeza soko la wanja na uchumi utakuwa!
 
Afu huyu kijana mzuri mashaallah! Akipaka wanja anapendedha huyu!
Na vijidimpo vyake vya kishkaji aisey! Mwenye No yake anipatie atlist niwe namtumia walau vijivocha vya elfu 50 per week .

??????"!!!!!!!!¿¿¿¿¿¿¿¡¡¡¡¡¡¡
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom