Diamond kama kweli unajua mziki kwa hili ulikosea..

msafwa93

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,761
5,877
ilikua kwenye TUZO ZA MUZIKI ZA KILI 2011/2012

Wakati OMMY DIMPOZ anaenda kupokea TUZO yake ya pili alisindikizwa na DIAMOND(hawa ni marafiki wakubwaa) ndipo DIAMOND akatoa maneno haya:-

'kuna siku niliwahi kumpeleka huyu dogo kwa producer fulani hiv lakin huyo producer akasema dogo hajui kuimba lakini nashangaa leo huyo producer hajapata TUZO hata moja wakat dogo anapoke TUZO ya pili'..
producer anaemzungumzia hapo ni BOB JUNIOR.

kimsingi kama unajua mziki kwa hawa ma producer kuna kitu wanakiita 'TOUCHES' yani BOB JUNIOR aliona kwa 'TOUCHES' zake dogo hafai.

Wimbo wa huyu OMMY D umerekodiwa na KGT(G RECORDS) kilichonogesha ule wimbo ni vnanda vya KGT na CHORUS ambayo aliyeitunga ni ALIKIBA na aliyempa idea ya kumshirikisha ALIKIBA ni KGT..

JE ANGEENDA KWA BOB JUNIOR ANGEPEWA IDEA YA KUMSHIRIKISHA ALIKIBA.?NA JE ANGEMSHIRIKISHA MTU MWINGINE CHORUS INGEKUA NZUR VILEVILE.?
 
Diamond ni Limbukeni wa kutupwa...He says and the THINKS...Elimu matters, hapo haihitaji darasa ni just kufikiria tu...
 
Diamond ni Limbukeni wa kutupwa...He says and the THINKS...Elimu matters, hapo haihitaji darasa ni just kufikiria tu...


labda alikua anafanya taarabu pale cozkwa akili ya kawaida huwez kuongea vle kama unajua production ya mziki..
 
Mkuu, you should not waste your time kwa watu kama Diamond.
Ukikumbuka background yake, akili yake nadhani ungemwelewa kwa nini alisema hivyo...
 
Hivi Diamond na memba ya JF pia? Kwanini usimfikishie ujumbe kwa njia ambayo ni rahisi kwake?
 
Jambo la msingi atambue kuna kupanda na kushuka. Leo yuko kwenye PEAK kesho anaweza kuwa kwenye depretion alaf BOB akawa ndo yuko kwenye PEAK.
Ni mtazamo tu...,,,e$e
 
Jambo la msingi atambue kuna kupanda na kushuka. Leo yuko kwenye PEAK kesho anaweza kuwa kwenye depretion alaf BOB akawa ndo yuko kwenye PEAK.
Ni mtazamo tu...,,,e$e

BOB hawezi kuwa juu...hapo alipo sasa ni juu sana kwake... hajawahi kumfikia platinum na ni ndoto kwake kumfikia. Platinum yuko next level. ni reality tu ambayo ukiikubali hutopata shida, ukishindana nayo itabidi utoke mishipa ya shingo kujenga na kusimamamia hoja.

BOB was ill advised kwamba anaweza kuvamia front naye akaimba na kuweza ku-hit kama platinum...WRONG MOVE!!!
 
Dogo wa chopa hajitambui mwambieni afanye haraka haraka anunue hata kiwanja kama kujenga hawezi.Mwambieni wapi mzee wa takeu anajikakamua lakini wapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom