Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,543
- 45,793
Hivi kwanini watu wengi wanadhani Diamond anaishi Madale? yule jamaa anaishi Mivumoni sehemu moja inaitwa Container.sawa msukule wa madale. ukweli lazima usemwe .
hata sijui mkuu .kuna watu ukimcritisize mond huku wanakuja juu wakati wamemjua kwenye salome.dogo kashuka musioc anaotupa sasa hivi sio .lazima tumuambie ukweli? hivi kusema ukweli ndo kuwa hater?Hivi kwanini watu wengi wanadhani Diamond anaishi Madale? yule jamaa anaishi Mivumoni sehemu moja inaitwa Container.
wala?timu mondshost wewe team Kiba?
alaa kumbe!wala?timu mond
Shemelaa...hata sijui mkuu .kuna watu ukimcritisize mond huku wanakuja juu wakati wamemjua kwenye salome.dogo kashuka musioc anaotupa sasa hivi sio .lazima tumuambie ukweli? hivi kusema ukweli ndo kuwa hater?
mkuu umenielewa .Ni kweli ukisikiliza nyimbo zake za zamani mfano
Nalia na mengi
Mawazo
Lala salama
Nitampata wapi
Na hizi za sasa utaona kama hazina radha nzuri kama ile ya zamani ila hizo za zamani ni nzuri kwa hapa nyumbani tu huko mbele wala hawazishobokei!
Angalia zilizomtambulisha kimataifa
Nana
Kidogo
Etc......
Ni kweli hata Mimi nimemiss zile tungo zake za zamani, hizi za sasa kiukweli zinakinai mapema!mkuu umenielewa .
namtaka mond wetu wa zamani. zamani alikuwa akitoa wimbo kila mtu anakaa chini
What!!??Ni kweli, Domond hakuna kitu