Diamond ( Dangote) kuna dada anaomba kusaidiwa, usijifanye haujasikia

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Huyu Dada ni miongoni mwa watu walioshiriki kuimba nyimbo ambazo zilipelekea wewe kusikika na hatimaye kufika hapa ulipo ( ingawa umeanza kuharibu ) hivyo msaidie usijafanye kama haujamsikia.

Ameomba msaada asaidiwe hivyo nipenda kuona kuwa wewe unakuwa mstari Wa mbele katika hili
nawasilisha
 
Hawa anasikitisha sana kwa kweli, by then she is just 27yrs old
 
Huyu Dada ni miongoni mwa watu walioshiriki kuimba nyimbo ambazo zilipelekea wewe kusikika na hatimaye kufika hapa ulipo ( ingawa umeanza kuharibu ) hivyo msaidie usijafanye kama haujamsikia.

Ameomba msaada asaidiwe hivyo nipenda kuona kuwa wewe unakuwa mstari Wa mbele katika hili
nawasilisha
Sasa ameanza kuharibu nini mbona unakuwa na majungu tena.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yule aikuwa anahitaji msaada toka kitambo ndio maana alisaidiwa kwa kuwekwa kwenye platfom ya muziki kipindi kile, ila inavyo onekana huyu dada hasaidiki.

"the highest risk should give maximum profit"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom