Diamond awapa onyo KQ kupitia kwa manzi wake, vigogo wa KQ matumbo joto huko Nairobi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
5,366
2,000
Diamond ametuma salamu kwa KQ kuwa wajiandae kwa lolote hasa baada ya tanzania kuwa nchi ya kwanza Afrika kuagizandege za kisassa zaidi za Airbus, mara baada ya post ATCL wamedai watu wanaaofanya booking na shirika hilo imeongezeka kwa asilimia 31, asante kijana kwa kujali vya nyumbani kwanza.
Sema shemeji yetu ni kama ana bifu na nguo vile.
25e0870a-c537-4cc4-a41a-cfc2b49aa944.jpg
5cbebe78-f6c6-4036-947a-42ea8717ff4d.jpg
 
LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,481
2,000
Diamond ametuma salamu kwa KQ kuwa wajiandae kwa lolote hasa baada ya tanzania kuwa nchi ya kwanza Afrika kuagizandege za kisassa zaidi za Airbus, mara baada ya post ATCL wamedai watu wanaaofanya booking na shirika hilo imeongezeka kwa asilimia 31, asante kijana kwa kujali vya nyumbani kwanza.
Sema shemeji yetu ni kama ana bifu na nguo vile.
View attachment 970744 View attachment 970745
Ni kama maji utayanywa tu
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
39,579
2,000
Air Tanzania haiwezi shindana na KQ. ... ukitaka amini Air Tanzania iweke trip ya Kenya
 
Msolo

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
1,716
2,000
Naona anafanya ile "Funika kombe mwanaharamu apite".

Usiwasifie...... wanapanda kichwa hatari. [sio vizuri kutajana kwa makabila]

Diamond kwa hii post na yaliyotokea jana nampa 100%.
Nampa 100% pia, amejua kucheza 'karata' hapa
 
kennedy0000

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
3,806
2,000
Diamond ametuma salamu kwa KQ kuwa wajiandae kwa lolote hasa baada ya tanzania kuwa nchi ya kwanza Afrika kuagizandege za kisassa zaidi za Airbus, mara baada ya post ATCL wamedai watu wanaaofanya booking na shirika hilo imeongezeka kwa asilimia 31, asante kijana kwa kujali vya nyumbani kwanza.
Sema shemeji yetu ni kama ana bifu na nguo vile.
View attachment 970744 View attachment 970745

Sponsored post.
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
10,912

ATCL bado mko stone age. Mtangoja sana
 
Baba lake

Senior Member
Aug 11, 2018
178
250
ni sawa na singida Utd vs Barcelona fc hapo
Unamuabisha Tundu Lisu, FC Barcelona unaifananisha na shirika linaloenda kujifia kifo cha mende? Messi pekee akiwekeza hapo KQ hata abilia wasipolipa nauli Shirika litarusha ndege zake hewani. Wenzetu wako mbali sana tusijifananishe tupambane na hali zetu
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
10,912
2,000
Thubutu ati KQ Barca? ngoja mahesabu ya KQ ya mwaka 2018 yatoke loss lazma iwe juu ya $150mln! Hapo KQ ina deni last $2 bln Afrieximbank!
Loss ya last year ilikuwa $40 million. Sasa itakuwaje loss iongezeke? Sawa wacha tutaona
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom