Diamond ashutumiwa kuiba idea za H.Baba na Pasha katika ‘Nataka Kulewa’

nyinyi endeleemi kubishana nani kaiba nyimbo mimi ngoja nilale ili niamke mapema niwai shambani nikapalilie maindi
 
nyinyi endeleeni kubishana nani kaiba nyimbo mimi ngoja nilale ili niamke mapema niwai shambani nikapalilie maindi
 
maneno gani ya kifala hayo unaandika ww! Wacha waseme maana wana uchungu wa kuibiwa, kama ww unamuona mtanashat kivyako kwe2 cc ni mwiz 2 kama wez wengine!

ww na H baba wako mabwege tu, unaibiwa vp wakati songi zako hazi hit?.. hiyo kitu ya Platnumz acheni mambo ya kike
 
Kabla sijakujibu nikuulize kitu?
Unatengeneza style gani ya mziki?

currently najaribu tafuta nmchanganyiko mzuri wa ngoma za africa na beats za magharibi kidogo kuona tofauti na nyingi za sasa ambazo wengi wa wazalishaji wana sampo tu toka kwa watu.so,i do some hip hop lakini mimi ni shabiki sana wa ngoma za africa kabisa!
 
sina interest sana na nani kaiba kwa nani maana hapa bana waweza kuta mambo yale yale ya T.I.D na COMORIEN!lakini idea kufanana mpaka iwe kesi inabidi zifanane kwelikweli,vinginevyo hakuna msanii anaweza imba kipya kabisa amabcho hakijawahi hata kufikiriwa na mwingine!uwasilishaji tu ndo hutofautiana.....mawazo yangu tu lakini haya.
 
daaaah!...........hapa umenigusa sana mkuu....kwamba nikipiga kinanda kanisani na kutumia free software kama FL siwezi kuwa producer mzuri!ladha ya muziki ,bila kujali ulikojifunzia muziki wenyewe wala kutumia expensive softwares,jumlisha ubunifu mwingi ndo humfanya producer bora bana!

mi nimejifunza na kupiga kinanda kanisani,nikatafuta kila nilichotaka na kudhani napaswa kufahamu kuusu muziki on line na nikajifunza pia production na natumia hiyo hiyo FL na najiamini sana na kazi zangu mkuu!sifanyi tu biashara ya muziki sema,i do it for fun!

na kama tatizo lako ni kujifunza church......mkuu chukuwa vijana hata kumi tu toka makanisa tofauti,waandikie muziki ata ghafla afu waache wakuchapie kama hujazimia!ubora uko tofauti kabisa jhamaa!!!!

producer wa muziki mpaka uwe producer ni lazima uwe producer kweli wenzetu magharibi wako very serious na hili na utakuta producer ana crew yake kabisa ma producer wa bongo wengi beat zao wanatoa kwa fl ukiwauliza mnajua kutumia AKAI MPCs atakwambia hajui wakati magharibi huko wanakowaiga kina pollow da don, danger, bangladesh ndio wanatumia
mtu anakwambia mimi ni producer wa Hip Hop ukimuuliza unajua kutumia drum machine haijui
just blaze yeye anajua kutumia drums, keybord, turntable, sampler,drum machine yet amesomea na anaendelea kusoma kila siku
kwanini asikuache mbali?

kujua kupiga vyombo vingi kama kinanda hakukufanyi uwe producer ndio maana studio za wenzetu utakuta kuna watu kazi yao ni kupiga violin, wengine kazi yao ni kupiga kinanda tu ila wote wanpata maelezo kutoka kwa producer na utakuta wengine wanaweza tumia fl kuliko kina lamar wenu

nilisikia speech moja ya foo fighters wanasema music sio vyombo, sio studio ni akili na ndio hiyo hiyo inatumika kwa producer unaweza ukawa unajua piga kila kitu ila swali ni je unaweza tengeneza mtindo mzuri wa nyimbo ukawa unique na kupendwa na watu?
 
currently najaribu tafuta nmchanganyiko mzuri wa ngoma za africa na beats za magharibi kidogo kuona tofauti na nyingi za sasa ambazo wengi wa wazalishaji wana sampo tu toka kwa watu.so,i do some hip hop lakini mimi ni shabiki sana wa ngoma za africa kabisa!

Bro!kmvp ni pm bana.
 
Nyimbo yangu,nyimbo hiyo, au wimbo wangu, wimbo huo!? Hebu tuwe makini japo kidogo na hiki kiswahili chetu. Nasubiri kusikia
 
producer wa muziki mpaka uwe producer ni lazima uwe producer kweli wenzetu magharibi wako very serious na hili na utakuta producer ana crew yake kabisa ma producer wa bongo wengi beat zao wanatoa kwa fl ukiwauliza mnajua kutumia AKAI MPCs atakwambia hajui wakati magharibi huko wanakowaiga kina pollow da don, danger, bangladesh ndio wanatumia
mtu anakwambia mimi ni producer wa Hip Hop ukimuuliza unajua kutumia drum machine haijui
just blaze yeye anajua kutumia drums, keybord, turntable, sampler,drum machine yet amesomea na anaendelea kusoma kila siku
kwanini asikuache mbali?

kujua kupiga vyombo vingi kama kinanda hakukufanyi uwe producer ndio maana studio za wenzetu utakuta kuna watu kazi yao ni kupiga violin, wengine kazi yao ni kupiga kinanda tu ila wote wanpata maelezo kutoka kwa producer na utakuta wengine wanaweza tumia fl kuliko kina lamar wenu

nilisikia speech moja ya foo fighters wanasema music sio vyombo, sio studio ni akili na ndio hiyo hiyo inatumika kwa producer unaweza ukawa unajua piga kila kitu ila swali ni je unaweza tengeneza mtindo mzuri wa nyimbo ukawa unique na kupendwa na watu?
Wasipokuelewa watakuwa wamerogwa.....BTW hakuna producer bongo hakuna....alikuwepo mika mwamba kidogo alikuwa anakuja na vitu vipya vipya......pfunky copy na ku paste.....hawa wengine ndio kabisa hovyooo kabisa......

producer wa muziki mpaka uwe producer ni lazima uwe producer kweli wenzetu magharibi wako very serious na hili na utakuta producer ana crew yake kabisa ma producer wa bongo wengi beat zao wanatoa kwa fl ukiwauliza mnajua kutumia AKAI MPCs atakwambia hajui wakati magharibi huko wanakowaiga kina pollow da don, danger, bangladesh ndio wanatumia
utamu wa hiyo makitu angalia encore ya jay z..utamu wa jisongo hilo walipofanya mixup ya jisongi numb la linkin park na kutoa kitu encore/numb aiseeeee......umeshaangalia MTV mash-up album arifu?
 
Mtv mashap albam sijaangalia arifu ila hiyo ya linkin park aliyekuwa anaipiga kama sio mike shinonda basi alikuwa yule mchina jinna lake silipati fresh ambaye ndio sampler wa linkin park usiombe ukahudhuria show zao arifu hautajutia hela yako
 
thou shall live and let die......... his time might be up...
 
Mtv mashap albam sijaangalia arifu ila hiyo ya linkin park aliyekuwa anaipiga kama sio mike shinonda basi alikuwa yule mchina jinna lake silipati fresh ambaye ndio sampler wa linkin park usiombe ukahudhuria show zao arifu hautajutia hela yako
yah arifu alikuwa yule mchina jamaa anakipiga ile mbaya aiseee.....mike shinonda mkali aisee yeye alikuwa anakipaza na jay z....maana hii encore/numb kaitengeneza shinonda...bonge la show arifu.....
 
eh!, wiv nani amuonee wivu mwiz? acha kuongea u2mbo ww, kupenda gan huko mpka unashindwa kuuona ukweli? acha kasumba yako hiyo wezi lzma wafichuliwe bila kujali ye nani!
Ukweli lazima usemwe !watazoea hao mfano mi nilikuwa nawaheshimu sana wale mijamaa ya Mwanza na Arusha kwenye hiphop,si kikaja kile kijitu er kijoti na likipindi lake la komeni..er komedi-vilaza,KOPI PESTI ?basi heshima yoote kwa mijamaa hii nikairushilia mbali!
 
Producer anahusika sana hapo, mtuhumiwa wa kwanza ni producer sababu yeye ndiye anajua vyote vivyohus nyimbo ya mwingine.
 
eh!, wiv nani amuonee wivu mwiz? acha kuongea u2mbo ww, kupenda gan huko mpka unashindwa kuuona ukweli? acha kasumba yako hiyo wezi lzma wafichuliwe bila kujali ye nani!

umekuja na hii thread ili watu watoea maoni yao au umekuja kuwatetea maboss zako kina h-baba?
 
producer wa muziki mpaka uwe producer ni lazima uwe producer kweli wenzetu magharibi wako very serious na hili na utakuta producer ana crew yake kabisa ma producer wa bongo wengi beat zao wanatoa kwa fl ukiwauliza mnajua kutumia AKAI MPCs atakwambia hajui wakati magharibi huko wanakowaiga kina pollow da don, danger, bangladesh ndio wanatumia
mtu anakwambia mimi ni producer wa Hip Hop ukimuuliza unajua kutumia drum machine haijui
just blaze yeye anajua kutumia drums, keybord, turntable, sampler,drum machine
yet amesomea na anaendelea kusoma kila siku
kwanini asikuache mbali?

kujua kupiga vyombo vingi kama kinanda hakukufanyi uwe producer ndio maana studio za wenzetu utakuta kuna watu kazi yao ni kupiga violin, wengine kazi yao ni kupiga kinanda tu ila wote wanpata maelezo kutoka kwa producer na utakuta wengine wanaweza tumia fl kuliko kina lamar wenu

nilisikia speech moja ya foo fighters wanasema music sio vyombo, sio studio ni akili na ndio hiyo hiyo inatumika kwa producer unaweza ukawa unajua piga kila kitu ila swali ni je unaweza tengeneza mtindo mzuri wa nyimbo ukawa unique na kupendwa na watu?

Drums,drum machine,keyboard,turntable,sampler.......halafu unganisha na ''muziki sio vyombo,ni akili!''...........halafu kumbuka na nilichoandika mwanzo ''ladha ya muziki,bila kujali ulikojifunzia muziki wenyewe wala kutumia expensive softwares,jumlisha ubunifu mwingi ndio humfanya producer bora''..

kwenye red yako na yangu mkuu.angalia halafu niambie tunapopishana na mtazamo wa foo fighters!

kwenye blue zako za juu na chini,sijui msisitizo wako uko kwenye nini hasa.......naona juu unasisitiza na matumizi ya vyombo na chini unaponda!!
 
Back
Top Bottom