Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Huyu Zari ameshatuona watanzania kama watu wajinga, kila anachosema tunakiamini, hiyo gari ameleta kwa muda itumike Tanzania kufanyia shughuli zao na baadae lirudi, ameamua kutangaza kamnunulia zawadi Daimond kujipatia sifa kama kawaida yake, Zari ni muuzaji wa magari Uganda analetewa magari kuyauza, inasemekana hata magari si yote aliyokua nayo Uganda niyake.

leo kaja na mpya ukitaka kumuona mtoto wake utatakiwa kulipa milioni 20 kama wewe si ndugu, hata mitume walionekana kwa watu.

Tusije tukashangaa ikijulikana tumedanganywa hakuna mimba,yote feki na mtoto wa ku adopt.

Kinachoshanganza ni vipi mwanaume umpende kiasi hicho lakini inasemekana mpaka leo Daimond hajakanyaga nyumba anayokaa Zari South Africa au kumtambulisha kwa watoto wake.

Zari iko siku atakuja andika kitabu na kukitoa au kufanya filam jinsi alivyotudandanya watanzania na tukadanganyika.
 
Haya hayaaa! Dada mondi ndani ya avatar nmefanya uzalendo ama nenee!
Nna roho nzuriiii cute b, geniveros njooni mnipe pongezi ya kizalendo juu ya buana Dadangote

Lol hongera shoga angu kwa kuonyesha uzalendo wa kumweka domo kwenye avatar iyo tuu inatosha kuonyesha ni jinsi gan wew ni mzalendo
 
Last edited by a moderator:
Watu mnajidai kujua sana magari, mara lamboghini mara porsche mara ferreri.... Point hapa ni diamond kununuliwa gari hayo mengine hayatuhusu
 
Huyu Zari ameshatuona watanzania kama watu wajinga, kila anachosema tunakiamini, hiyo gari ameleta kwa muda itumike Tanzania kufanyia shughuli zao na baadae lirudi, ameamua kutangaza kamnunulia zawadi Daimond kujipatia sifa kama kawaida yake, Zari ni muuzaji wa magari Uganda analetewa magari kuyauza, inasemekana hata magari si yote aliyokua nayo Uganda niyake.

leo kaja na mpya ukitaka kumuona mtoto wake utatakiwa kulipa milioni 20 kama wewe si ndugu, hata mitume walionekana kwa watu.

Tusije tukashangaa ikijulikana tumedanganywa hakuna mimba,yote feki na mtoto wa ku adopt.

Kinachoshanganza ni vipi mwanaume umpende kiasi hicho lakini inasemekana mpaka leo Daimond hajakanyaga nyumba anayokaa Zari South Africa au kumtambulisha kwa watoto wake.

Zari iko siku atakuja andika kitabu na kukitoa au kufanya filam jinsi alivyotudandanya watanzania na tukadanganyika.

Pole zenu "Wadanganyika" wote mazuzu mnaofuatilia mambo ya watu wengine yasiyowaongezea utu, wala mkate kwenye meza zenu za chakula au kuchangia ulipaji wa ada za shule kwa watoto wenu!! Kutwa kucha mnafuatilia mtu "mpuuzi tu" kama vile ninyi wenyewe hamna kazi za maana za kuendeleza maisha yenu! Wajinga ndio waliwao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom