Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Maisha ya Mastaa lazima tuyafahamu maana ndio wanaoweka headlines. Inasemekana ni nyumba yake ya 29.
Hongera sana Diamond!
Ni hatua nzuri sana
 
Hiyo nyumba alikua anauza 4 years ago alikua anataka ajakosa wateja alitaka 2m usd , Gharib Bilary Enzi zile ni makamu wa rais aliipenda inunuliwe iwe hata makazi ya makamu wa rais lakini usalama wakakataa ipo ndani ndani kwa kua
2m usd unanunua nyumba mbili masaki mkuu,hoyo bei aliropoka tu hata ukianza na kiwanja plus jengo hakuna 1bn
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Mh! Mkuu hii si ni ofisi? Hivi kuna mtu in a good state of mind ataificha ofisi yake isijulikane? Wanaotaka huduma wataipataje huduma yake kama asipoitangaza? Tusiwe wepesi wa ku-judge kwa hisia na kuacha facts.
 
Na kitu kingine watu hawajui kuwa Ali Kiba ni Boss wa Diamond (ana cheo kikubwa) katika ngazi ya Masonic East and Central Africa...
Vyeo vyao vinaenda sambamba na makufuru( machukizo mbele za Mungu) sasa sijui kiba kafanya yapi mpka cheo kiko juu Maana wote wako huko. Huku nje wanatucheka tu wajinga wasiojua
 
Vyeo vyao vinaenda sambamba na makufuru( machukizo mbele za Mungu) sasa sijui kiba kafanya yapi mpka cheo kiko juu Maana wote wako huko. Huku nje wanatucheka tu wajinga wasiojua
Kiba kamzidi Mondi cheo katika idara ya kungonoka tu.
Chukizo namba moja kwa Mungu.

Kangonoka na Dada yake Mondi (Queen Darlin)
Wameshirikiana kungonoka na warembo kama Jokate, Wema Sepetu, Giggy, Lulu na wengine kibao...
 
Ila mkubwa Fella kaweka wazi kwamba wamekidisha. Chapter closed. Ndomaana Da mange kasema kukidisha kitu cha kawaida mbona airtel, voda wanakodisha
 
Hizi kesi za ML nwdays zinatumika kama kikomoa coz wanajua haina dhamana so utasota ndan hadi kesi kuisha ushakaa miaka 3 na kesi umeshinda
Wabeshi kesi zao havina ushahidi istoshe wanajinunua kwa kukubali kesi then analipa faini kma ndama
 
Exactly

And

Reasonable price.


Ukiiangalia kwa nje material Yake hiyoo nyumba imejengwa mda. Na thamani yake haiwezi fika bil moja. Ata kama iko full furnished.



Kuna watu nadhani hawajui maana ya bilioni moja.
mkuu unajua kuwa ardhi kila muda unavozidi kwenda ndio thamani yake hupanda?
 
Kama ni kweli yule dalali amedanganya kuwa Diamond kanunua kumbe kapangisha ni kitendo kibaya na kinaweza kumchafulia jina msanii huyo
 
Back
Top Bottom