Diamond anajua sana mziki, mchiriku wake umetoka rasmi

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,326
http://www.hulkshare.com/kdaddycool/diamond-platnumz-mdogo-mdogo

Wazee wa vigodoro hapa ametupatia kweli. Nasikia remix yake msaga sumu mzee wa naipenda simba na dogo mfaume ( kazi yangu ya dukanii) wameshirikishwa.

Sipati picha mrembo wema akicheza mchiriku kwenye kigodoro. Kwa mwendo huu haters watajificha maana masela wote lazima hawateke kwa mchiriku huu uzinduzi wa album tandikaaaa kwa masela disko vumbi.
 
diamond anachekesha kwa mtindo huu hawezi kutoboa kimataifa kamwe mi nikajua atatoa kitu kama chop my money au alingo

poor management inakushauri vibaya mtv nominee unawaza kuwateka mashabiki wa mbagala na vingunguti haiwezi kua kweli labda naota
 
Huu ni wimbo kwa ajili ya soko la Tanzania..Soon ataachia wimbo na Iyanya kwa ajili ya international market..
 
diamond anachekesha kwa mtindo huu hawezi kutoboa kimataifa kamwe mi nikajua atatoa kitu kama chop my money au alingo

poor management inakushauri vibaya mtv nominee unawaza kuwateka mashabiki wa mbagala na vingunguti haiwezi kua kweli labda naota

Unataka tumsahau kama ay anaepiga muziki wa kimataifa. Kuna raha gani unapiga muziki kwenu hawakujui!
 
Bado swali langu liko palepale..
Huu wimbo umeuzid nini wimbo wa FEROOZ-NDEGE MTINI.??

WaTZ ndo maana mziki wetu hauendlei,acheni ubinafsi,mtu flani akitoa wimbo ndo mnasema mzuri akitoa mwngne mpo kimyaaa..
 
Kwanza Mashabiki wa Muziki Wa bongo hawana pesa..AY yuko juu kuliko Diamond na pia wanafaya aina tofauti ya Muziki..
 
The point iko palepale ni lazima pia mashabiki wawepo nyumbani. Diamond haba cha kupoteza, kutoa wimbo mmoja wa mchiriku kwa watu wa mbagala hakumfanyi asi go internationally.
 
Bado swali langu liko palepale..
Huu wimbo umeuzid nini wimbo wa FEROOZ-NDEGE MTINI.??

WaTZ ndo maana mziki wetu hauendlei,acheni ubinafsi,mtu flani akitoa wimbo ndo mnasema mzuri akitoa mwngne mpo kimyaaa..

Nyota tu ya kupendwa.....ndege mtini hauna mfanowe
 
The point iko palepale ni lazima pia mashabiki wawepo nyumbani. Diamond haba cha kupoteza, kutoa wimbo mmoja wa mchiriku kwa watu wa mbagala hakumfanyi asi go internationally.

Anaweza asipoteze lakini watu wakatumia hiyo nyimbo kupima uwezo wake..
Je ina Mpangilio wa Mchiriku?

Ina Vionjo vya mchiriku?

Wajuzi wa Muziki watatuambia.. Maana ninavyoelewa Mchiriku siyo rahisi kama bongo fleva..
 
Back
Top Bottom