Diamond amjibu Majizo ”kiutu uzima”

Tiaraei TRA TRA amkeni amkeni kuna mtu kaonyesha jinsi anavyoingiza mkwanja, njoeni na makadirio yenu yale ya kukomba helaya mutu. Ila safari hii mjue rais ni mwingine siyo yule
 
Kipindi hiki cha covid njia muafaka kwa msanii kupata pesa ni mitandao. Ukiendelea kusubiri live shows lazima utafulia!

Sauti Sol wao wamekuja na reality show kwenye showmax. Wapo season 2 sasa.
 
Hivi kwa akili yako ya kawaida na wewe umeamini kabisa hilo andiko ni la "mtoto wa Tandale"? Ukiwa na Pesa siku zote utaonekana una akili hata ukiwa kilaza....kwani wenye akili wote lazima watakuwa watumwa wako
Account ni yake, wewe ni nani useme siyo yeye?
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii pesa imetokana na nyimbo moja ya waaah
Siyo wewe tu, mpo wengi msio na ufahamu kuhusu mauzo ya online lkn nikwambie tu hiyo ni youtube bado kuna platforms kibao so kwa wimbo huohuo mmoja anaweza kupiga hata 1b, ni juhudi zake tu.
Biashara imehamia online, tuamke twende sawa na mabadiliko hayo.
Kuna watu (mimi ni mmoja wao) tunaishi kwa kutegemea mauzo ya online (youtube pekee) na tuna uhakika wa kukunja si chini ya 1m kila mwezi na hatuna umaarufu wowote! Itakuwaje kwa Mondi?
 
Ndio tatizo la bongo
Majizzo ni mweupe sana..Sema mtu akishakuwa na hela kiasi wabongo huwa tunaheshimu tu,maana kutengeneza pesa nako ni akili labda isiwe halali.

Ashakujaga na kiresearch chake uchwara cha kupika kuwa redio yake inaongoza kwa market share ya 50pc kwa dar na pwani lakini haijulikani ni nani wamefanya tafiti,wakati geopoll tafiti zao zinawarenk nafasi ya nne..msanii sana huyu jamaa
 
Back
Top Bottom