Diamond amjibu Majizo ”kiutu uzima”

Ndio maana Msukuma anawadharau sana wasomi!

Ona huyu Diamond na elimu yake ya form ya kufeli lakini ona hizo nondo alizotoa hapo juu na mihela hiyo anayopiga!
Hivi kwa akili yako ya kawaida na wewe umeamini kabisa hilo andiko ni la "mtoto wa Tandale"? Ukiwa na Pesa siku zote utaonekana una akili hata ukiwa kilaza....kwani wenye akili wote lazima watakuwa watumwa wako
 
Mjinga kweli we, hizo hela zinakuja zenyewe TU bila akili.

Kimsingi mtu huwezi kujua kila kitu. Si dhambi. Unataka kusema diamond yuko sahihi kwa kila kitu? Hapana.
Punguza mahaba ya kike kwa mwanaume mwenzio.

Povu ruksa, sabuni iwe Ariel, ndiyo kali.
download (2).jpeg
 
Majizzo ni mweupe sana..Sema mtu akishakuwa na hela kiasi wabongo huwa tunaheshimu tu,maana kutengeneza pesa nako ni akili labda isiwe halali.

Ashakujaga na kiresearch chake uchwara cha kupika kuwa redio yake inaongoza kwa market share ya 50pc kwa dar na pwani lakini haijulikani ni nani wamefanya tafiti,wakati geopoll tafiti zao zinawarenk nafasi ya nne..msanii sana huyu jamaa
Mkuu umenikumbusha.
Nakumbuka miaka ya 2014/2015. Geopoll walikuwa wanaitumia sms za savey. Nikujibu wananijaza airtime ya buku au jero. Nilikuwa naona rahaaaaa balaaaa
 
Back
Top Bottom