Diamond amjibu Majizo ”kiutu uzima”

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,521
7,368
Baada ya Majizo kuandaa press conference kwenye media yake na kushambulia wasanii wanao trend mitandaoni na wanaopata views nyingi, akisema ukali wa msanii haupimwi kwa views au trending.

Jabali la muziki wa Africa almaaluf Diamond Platnumz amempa elimu ya bure Majizo umuhimu wa views na trends kwa msanii.

IMG_20210421_183551.jpg

IMG_20210421_183556.jpg

IMG_20210421_183554.jpg
 
Kwenye haya mambo inahitajika elimu kubwa kujua jinsi gani vijana wenzetu wanafaidika na online platform
Clean! Diamond Platnumz ametoa somo fupi lenye uelewa kwa ambao hawakufahamu. Hata Mx Carter amekuwa akitoa hili somo sema taarifa za maarifa hazipewi nguvu.

Wasanii wengi wanalipwa, tatizo linabaki katika matumizi yao ya fedha.
 
Views ------ Eur
39.4m --------- Eur 32,266
60m. -------- X

Krosi mataputapu x = Approximately Eur 49578,kwa video moja tu ya Waah,hapo bado Yope,Inama,Mary Me,Number One rmx nk.Hapo bado hujapiga za kwenye ITunes,Sportfy,Tidal,Boombplay,Audiomack nk.

Kwa mujibu wa account twitter ya Swahili Times Diamond kwa mwezi ana views kati ya 33k-35k kwa miaka zaidi ya miwili mfululizo apply hapo krosi mataputapu kwa mwezi hakosi mil 60-70.

Ngojea waje wanao ponda hapa naona watahamisha magoli.
 
cros mataputapu
 
Majizzo ni mweupe sana..Sema mtu akishakuwa na hela kiasi wabongo huwa tunaheshimu tu,maana kutengeneza pesa nako ni akili labda isiwe halali.

Ashakujaga na kiresearch chake uchwara cha kupika kuwa redio yake inaongoza kwa market share ya 50pc kwa dar na pwani lakini haijulikani ni nani wamefanya tafiti,wakati geopoll tafiti zao zinawarenk nafasi ya nne..msanii sana huyu jamaa
 
Sometimes si kila kitu ni cha kuamini sana.............kiki zinatengenezwa kwakubust mambo yao
 
Katika dunia ya sasa unapotengeneza equation kwa ajili ya kupima uzuri wa kazi ya msanii basi youtube lazima iwe moja ya variable ktk hiyo equation.Hata hao Billboard YouTube ni moja ya variable inayo tumika kupanga chart zao.

Ila yote kwa yote dogo anatengeneza mzigo wa maana.

Hawa wivu wao sijui umeanzia wapi au labda walisha fumaniana wakati wakienda kupasha kiporo kwa Hamisa manake hawara hatongozwi.
 
Tatizo la Majizo anajukuta bonge la Ruge kumbe mwamba yuko shalo sana kwenye ku analyse mambo sema nini mwamba mpunga kauotea mambo swadakta,lakini kichwani mweupe sana.
Mjinga kweli we, hizo hela zinakuja zenyewe TU bila akili.

Kimsingi mtu huwezi kujua kila kitu. Si dhambi. Unataka kusema diamond yuko sahihi kwa kila kitu? Hapana.
Punguza mahaba ya kike kwa mwanaume mwenzio.

Povu ruksa, sabuni iwe Ariel, ndiyo kali.
 
Back
Top Bottom