Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,657
- 71,443
ππππππππtumsubiri huyo Diamond aje kukujibu hapa.
ππππππππtumsubiri huyo Diamond aje kukujibu hapa.
Yaani mtu kakublock alafu Wala hakusumbui pesa za matumizi ya watoto alafu watoto bado wanaishi maisha Mazuri unalalamika hajamove on? Au wewe ndo hujamove on? Mtu ambae bado anakutaka ingekuwa anakusumbua Kila siku kwa simu na vikaoMpaka sasa anaeumia ni domo kutwa zari yupo mdomoni kamgeuza mate kweli kuachwa kunaumaaa alafu mwanaume mwenzio afaidi penzi kwenye mjengo ulio tolea jasho domo anatabia za ma sadist kuonekana mwema kwenye macho kumbe anayake nyuma ya camera asipo jiangalia ana develop to psychopath.
AHAHAHAHAHAHAHA kwanini lakini naijua sauti yako!Nyoo mwanaizaya mbwa wa makaburin wewe ebu usinite shombo, ntakuchamba Ukoo wenu wote mbuzi wewe
Kwamba aanze sa hizi kukuandikia thread?Nitakapokuwa celeb.... Au ukiamua waweza anza tu
HAHAHA..... NAFURAHI TU NIKIONA HIYO AVATAR YAKO WARUMI MAANA IMEKAA MDOMO JUUJUU....Ebu muulize kwanza , anajifanya hapend umbea wakat ye ndo wa kwanza ku reply humu mbwa huyo wa makaburin, mxieew tena asinitibue vuzi mchana wote huu
Kama umemove on kwanini unablock mtu?Yaani mtu kakublock alafu Wala hakusumbui pesa za matumizi ya watoto alafu watoto bado wanaishi maisha Mazuri unalalamika hajamove on? Au wewe ndo hujamove on? Mtu ambae bado anakutaka ingekuwa anakusumbua Kila siku kwa simu na vikao
Alafu mwanaume mzima unalalamika mamayao kaniblock Instagram? Hivi watoto wanalelewa Instagram kweli kwaiyo Instagram isingekuwepo je?
Wewe Kama baba funga Safari nenda kawaone watoto Wako Kama mamayao atakufungia geti usiingie hapo kweli atakuwa na matatizo
Tatizo yeye anahisi malezi akisha tuma hela ndio amemaliza. Sio hivyo malezi nenda kawaone watoto wako.wapeleke shule siku moja mtoto anakuwa na furaha Leo napelekwa na baba.au nenda kasikilize matokeo ya watoto. You a nao hizo zinakuwa ni good memory kwao. Ivan alikuwa close na watoto wake mbona zari hakumbania. Anyway maybe 1 day watayasuluhisha maana hapo watakaoumia ni watotoYaani mtu kakublock alafu Wala hakusumbui pesa za matumizi ya watoto alafu watoto bado wanaishi maisha Mazuri unalalamika hajamove on? Au wewe ndo hujamove on? Mtu ambae bado anakutaka ingekuwa anakusumbua Kila siku kwa simu na vikao
Alafu mwanaume mzima unalalamika mamayao kaniblock Instagram? Hivi watoto wanalelewa Instagram kweli kwaiyo Instagram isingekuwepo je?
Wewe Kama baba funga Safari nenda kawaone watoto Wako Kama mamayao atakufungia geti usiingie hapo kweli atakuwa na matatizo
Wewe tena utazani baba wa ubatizo wa wale watoto.Yaani mtu kakublock alafu Wala hakusumbui pesa za matumizi ya watoto alafu watoto bado wanaishi maisha Mazuri unalalamika hajamove on? Au wewe ndo hujamove on? Mtu ambae bado anakutaka ingekuwa anakusumbua Kila siku kwa simu na vikao
Alafu mwanaume mzima unalalamika mamayao kaniblock Instagram? Hivi watoto wanalelewa Instagram kweli kwaiyo Instagram isingekuwepo je?
Wewe Kama baba funga Safari nenda kawaone watoto Wako Kama mamayao atakufungia geti usiingie hapo kweli atakuwa na matatizo
Nipo SANA tu sis hadi JF ifungwe... Long kitambo sanaKwamba aanze sa hizi kukuandikia thread?
ahhahahahahahahhahaha upo bro!
Long time!
Hivi unategemea Kama binadamu , baba wa watoto Wako anaenda kwenye media anasema Kwanza mwanamke mwenyewe nimezaa nae sikumpenda na maneno ya kashfa alafu watu wamtukane mtandaoni baadae unategemea uyo uyo umpigie simu muongee vizuri Kama hakijatokea kitu.Kama umemove on kwanini unablock mtu?
Yaani mtu kakublock alafu Wala hakusumbui pesa za matumizi ya watoto alafu watoto bado wanaishi maisha Mazuri unalalamika hajamove on? Au wewe ndo hujamove on? Mtu ambae bado anakutaka ingekuwa anakusumbua Kila siku kwa simu na vikao
Alafu mwanaume mzima unalalamika mamayao kaniblock Instagram? Hivi watoto wanalelewa Instagram kweli kwaiyo Instagram isingekuwepo je?
Wewe Kama baba funga Safari nenda kawaone watoto Wako Kama mamayao atakufungia geti usiingie hapo kweli atakuwa na matatizo
Kama umemove on kwanini unablock mtu?
Mnachobishana misijakiona tatizo no post ya mtu ama mwenyewe domo anaendelea na mambo yake na watoto wa tandale ndio hivyo.cool down brothers wakati mnabishana watu wanaingiza chapaaa.Wewe usioupenda umaskin humu inafanya nini ? Mwenzio Niko established sina njaa kama wewe ndio maana nime relax , sasa wewe usiyependa kufuatilia maisha ya watu humu unafany nn mxieew njaa unazo wewe
Pumb zip? Ile dd au kipis mxiew