Diamond amfumua zari , amwambia amuige hamisa ku move on ...

Ahahahah lol
serious,
kuna namna nimeregister akilini mwangu sauti yako!
and huwa inakuja hiyo kila ukiwa unatupa umbea kwa kutushushua!
hakiiii huwa nachekaaa!
LONG LIVE BINAMU!
me love u muchoooo, na unajua!
 
wewe ni mwanamke no doubts

Ila domo hawezag kufanya enterview bila kumzungumzia Zari , hivi una akili timamu kweli ? Mtu umezaa nae watoto wawili, kutwa kumdhalilisha kwenye media , na wewe Zari Ndo ukome kuzaa na watoto wa Tandale, Ivan hajawah hata siku moja kumuongelea Vibaya Zari

Yan domo halinaga break , hajui maswali yap ya kujibu yap ya kuacha, Kwan ukisema tu no comment itakuaje? Wewe si Ndo uliachwa ukawa unaenda South kuomba msamaha wewe? , Zari Ana damu zako, hyo ku move on unayozungumzia wakuambiwa ni kina wema sepetu ambao hujazaa nao, mtu hujui watoto wako wanaishi vip, huend kuwasalimia, unategemea Zari atajisikia poa? Tatizo sio kuachana, Tatizo watoto , kutuma pesa sio malezi mbwa wewe, kaone watoto wako
 
serious,
kuna namna nimeregister akilini mwangu sauti yako!
and huwa inakuja hiyo kila ukiwa unatupa umbea kwa kutushushua!
hakiiii huwa nachekaaa!
LONG LIVE BINAMU!
me love u muchoooo, na unajua!

Love you more binamu, aaaaah ahsante sana
 
Sasa mtu hujui watoto wanaishi vip, huendi kuwaona, ila ukiona picha zao instagram unajifanya ku post et my young lion mxieew huo upuuzi apeleke kwa hamisa.

Hivi hujui maana ya mtu kukublock? It only means hataki mawasiliano na wewe , period , Zari has been surviving and living he lavish lifestyle way back before domo came to the scene, let me remind you , before Domo there was a rich man Ivan , yan a move on kwa ivan millionaire Ndo asimove on kwa huyu mkata viuno wa Manzese? You must be a joke , wewe umesikia wap Zari alikua anamsumbua domo au kumpeleka mahakaman kwa ajil ya child support? Have a brain kidogo basi binamu, like seriously Zari ni mtu wa kubembeleza mtu Yule ? , you must be a joke binamu
Just move on,
kublock mtu kisa kalike picha ya mtoto na hatoi matumizi wakati unalala na kujamba kwenye nyumba yake huo ni ushamba.
 
Mambo ya wawili waliozaa watoto wawili sio mambo ya kuyazungumzia kiuepesi wepesi, yangekuwa mepesi wasingeachana maana hakuna anaependa kuachana, hii ni hatua mbaya na ya mwisho ktk mahusiano.
 
Mtoto Wa diamond ni mmoja mwingine wa Ivan

Ila wanaume wanajua kuficha mengi diamond ana mengi moyoni.
 
Nonsense!!!
View attachment 1138304

Hamisa kamsema live na Tanasha wake.. mbona anamparamia Zari tu!!!

Bado anampenda na utofauti wa maisha yanampiga kiaina mbayaaaaa anajuta. uchungu wa kuachwa anakuwa punguani sasa.. kiki zimebuma..
Zari mkomeshe sasa.. huyo zaidi mtelekeza watoto na mpenda down. Awards hata mialiko ya kuimba hana tena.. hakutumia akili hadi amekukosa kabisaaa.. Kingbae anampa uchwizi.. ha ha haaaa

View attachment 1138309
 
Just move on,
kublock mtu kisa kalike picha ya mtoto na hatoi matumizi wakati unalala na kujamba kwenye nyumba yake huo ni ushamba.

Daudi, I thought you are way smarter than this , kwa hiyo malezi its all about money and material things for you si ndio? Even the father is not physical present to eye his kids is no more valuable? Eish , I’m done with millennials ... so kwako we malez ni kujengea nyumba watoto bas then watajijua wenyewe?

All in all Zari is a well established woman , we all know that , Zari hana njaa ndo maana humkuti aki beg pesa coz anajiweza unlike hamisa

Tell diamond to move on and stop mentioning Zari on each interview , aache genye bwana, Kwan tanasha hampi Kiki? Si amuongelee tanasha basi
 
Mtoto Wa diamond ni mmoja mwingine wa Ivan

Ila wanaume wanajua kuficha mengi diamond ana mengi moyoni.

Ebu usinichekeshe, wa kuwa na mengi moyon Nani ? Labda diamond mwingine sio huyu tunayemjua, hivi Kwan Yule anakifua cha kuweka maneno kifuan? Kama wamama za watoto wake anawadhalilisha uchawi na mwingine anamwambia aja move on wakat she is living her life
 
Kwani kakosea wapi?Zari akubali kumove on!

Amove on kivip? Kwan Zari alishawhi mpigia simu diamond ? Hivi kati y Zari na diamond Nani haja move on? Diamond is dating tanasha, hvi haon anamfanya mpenz wake ajisikie inferior towards Zari , kila Siku interview ni Zari tu khaa, mwanamke na nyota zake bhana, muachen Zari
 
Daudi, I thought you are way smarter than this , kwa hiyo malezi its all about money and material things for you si ndio? Even the father is not physical present to eye his kids is no more valuable? Eish , I’m done with millennials ... so kwako we malez ni kujengea nyumba watoto bas then watajijua wenyewe?

All in all Zari is a well established woman , we all know that , Zari hana njaa ndo maana humkuti aki beg pesa coz anajiweza unlike hamisa

Tell diamond to move on and stop mentioning Zari on each interview , aache genye bwana, Kwan tanasha hampi Kiki? Si amuongelee tanasha basi
sasa ukiblock mtu insta ndiyo ataleta pesa za matumizi???

huyo bibi anaforce jamaa aende kumpiga dudu.

Move one na maisha.
 
sasa ukiblock mtu insta ndiyo ataleta pesa za matumizi???

Move one na maisha.

Sasa Kwani what is insta? , so siku hzi malezi ya watoto yapo insta binamu? Khaa Leo umenivunja mbavu... well just tell your cousin to stop mentioning Zari kwenye interview zake bhana , tell him to move on ... unajua how Zari feels right now ? Kuwa diamond is not diamond without her , Kwa nini asiongelee kuhus tanasha and his coming mtoto? Coz she doesn’t Kiki eeh?

If you have moved on , you no longer have to talk about your ex , in whichever way yan , yan unapotezea mazima yan kama hujawah mdate huyo mtu , ila ndugu yenu hawez kabisa
 
thubutu, hana muda huo huyu.

Sio huyo, sema sisi , you are all my followers , you are the reason why I’m here, Kama watu kama nyie msingekua cooperative na kupenda umbea, warumi wouldn’t be here untill now , ahsanten sana kwa sapoti yenu
 
Sasa Kwani what is insta? , so siku hzi malezi ya watoto yapo insta binamu? Khaa Leo umenivunja mbavu... well just tell your cousin to stop mentioning Zari kwenye interview zake bhana , tell him to move on ... unajua how Zari feels right now ? Kuwa diamond is not diamond without her , Kwa nini asiongelee kuhus tanasha and his coming mtoto? Coz she doesn’t Kiki eeh?

If you have moved on , you no longer have to talk about your ex , in whichever way yan , yan unapotezea mazima yan kama hujawah mdate huyo mtu , ila ndugu yenu hawez kabisa
mahaba yamekuzidi hadi unajivua ufahamu.

"move on kijana"
 
Back
Top Bottom