Diamond amfumua zari , amwambia amuige hamisa ku move on ...

pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Mar 27, 2015
2,951
2,000
Mpaka sasa anaeumia ni domo kutwa zari yupo mdomoni kamgeuza mate kweli kuachwa kunaumaaa alafu mwanaume mwenzio afaidi penzi kwenye mjengo ulio tolea jasho domo anatabia za ma sadist kuonekana mwema kwenye macho kumbe anayake nyuma ya camera asipo jiangalia ana develop to psychopath.
 
brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,837

Yaani mtu kakublock alafu Wala hakusumbui pesa za matumizi ya watoto alafu watoto bado wanaishi maisha Mazuri unalalamika hajamove on? Au wewe ndo hujamove on? Mtu ambae bado anakutaka ingekuwa anakusumbua Kila siku kwa simu na vikao
Alafu mwanaume mzima unalalamika mamayao kaniblock Instagram? Hivi watoto wanalelewa Instagram kweli kwaiyo Instagram isingekuwepo je?

Wewe Kama baba funga Safari nenda kawaone watoto Wako Kama mamayao atakufungia geti usiingie hapo kweli atakuwa na matatizo
 
Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
1,587
2,000
Ebu muulize kwanza , anajifanya hapend umbea wakat ye ndo wa kwanza ku reply humu mbwa huyo wa makaburin, mxieew tena asinitibue vuzi mchana wote huu
HAHAHA..... NAFURAHI TU NIKIONA HIYO AVATAR YAKO WARUMI MAANA IMEKAA MDOMO JUUJUU....
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
51,833
2,000
Yaani mtu kakublock alafu Wala hakusumbui pesa za matumizi ya watoto alafu watoto bado wanaishi maisha Mazuri unalalamika hajamove on? Au wewe ndo hujamove on? Mtu ambae bado anakutaka ingekuwa anakusumbua Kila siku kwa simu na vikao
Alafu mwanaume mzima unalalamika mamayao kaniblock Instagram? Hivi watoto wanalelewa Instagram kweli kwaiyo Instagram isingekuwepo je?

Wewe Kama baba funga Safari nenda kawaone watoto Wako Kama mamayao atakufungia geti usiingie hapo kweli atakuwa na matatizo
Kama umemove on kwanini unablock mtu?
 
Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,543
2,000
Muendelezo wa laana toka kwa dingi kuwa chovya chovya then huna muda na watoto imehamia kwa kijana sasa anaendeleza uzi ule ule... kesho na kesho kutwa watoto wakishakuwa wakubwa ataanza nae kulalamika wamemtelekeza!
 
kisukari

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
4,586
2,000
Yaani mtu kakublock alafu Wala hakusumbui pesa za matumizi ya watoto alafu watoto bado wanaishi maisha Mazuri unalalamika hajamove on? Au wewe ndo hujamove on? Mtu ambae bado anakutaka ingekuwa anakusumbua Kila siku kwa simu na vikao
Alafu mwanaume mzima unalalamika mamayao kaniblock Instagram? Hivi watoto wanalelewa Instagram kweli kwaiyo Instagram isingekuwepo je?

Wewe Kama baba funga Safari nenda kawaone watoto Wako Kama mamayao atakufungia geti usiingie hapo kweli atakuwa na matatizo
Tatizo yeye anahisi malezi akisha tuma hela ndio amemaliza. Sio hivyo malezi nenda kawaone watoto wako.wapeleke shule siku moja mtoto anakuwa na furaha Leo napelekwa na baba.au nenda kasikilize matokeo ya watoto. You a nao hizo zinakuwa ni good memory kwao. Ivan alikuwa close na watoto wake mbona zari hakumbania. Anyway maybe 1 day watayasuluhisha maana hapo watakaoumia ni watoto
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
6,965
2,000
Yaani mtu kakublock alafu Wala hakusumbui pesa za matumizi ya watoto alafu watoto bado wanaishi maisha Mazuri unalalamika hajamove on? Au wewe ndo hujamove on? Mtu ambae bado anakutaka ingekuwa anakusumbua Kila siku kwa simu na vikao
Alafu mwanaume mzima unalalamika mamayao kaniblock Instagram? Hivi watoto wanalelewa Instagram kweli kwaiyo Instagram isingekuwepo je?

Wewe Kama baba funga Safari nenda kawaone watoto Wako Kama mamayao atakufungia geti usiingie hapo kweli atakuwa na matatizo
Wewe tena utazani baba wa ubatizo wa wale watoto.
 
brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,837
2,000
Kama umemove on kwanini unablock mtu?
Hivi unategemea Kama binadamu , baba wa watoto Wako anaenda kwenye media anasema Kwanza mwanamke mwenyewe nimezaa nae sikumpenda na maneno ya kashfa alafu watu wamtukane mtandaoni baadae unategemea uyo uyo umpigie simu muongee vizuri Kama hakijatokea kitu.
Hata ungekuwa wewe mtu wa hivo lazima ungemblock tu

Kazi ya Kwanza ya Baba Ni kulinda familia yako kwa gharama yoyote ile.
Davido Ni mdogo kwa Diamond na amezaa na wanawake 3 tofauti lakini jinsi anavyoilinda familia yake Ni mfano wa kuigwa
 
warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,842
2,000
Yaani mtu kakublock alafu Wala hakusumbui pesa za matumizi ya watoto alafu watoto bado wanaishi maisha Mazuri unalalamika hajamove on? Au wewe ndo hujamove on? Mtu ambae bado anakutaka ingekuwa anakusumbua Kila siku kwa simu na vikao
Alafu mwanaume mzima unalalamika mamayao kaniblock Instagram? Hivi watoto wanalelewa Instagram kweli kwaiyo Instagram isingekuwepo je?

Wewe Kama baba funga Safari nenda kawaone watoto Wako Kama mamayao atakufungia geti usiingie hapo kweli atakuwa na matatizo

Elimu nzur jaman , domo kichwan zero japokua ana mafanikio, yan yeye na makonda hawana tofauti, enterview zao haziwez kuisha bila kuvurunda yani

Sasa alitegemea Zari atajikomba, yule she is an established woman , hana njaa kama mobeto, hamisa lazima afuate conditions akitak child support vinginevyo aishi mjin hapa
 
warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,842
2,000
Kama umemove on kwanini unablock mtu?

Sasa mtu hujui watoto wanaishi vip, huendi kuwaona, ila ukiona picha zao instagram unajifanya ku post et my young lion mxieew huo upuuzi apeleke kwa hamisa.

Hivi hujui maana ya mtu kukublock? It only means hataki mawasiliano na wewe , period , Zari has been surviving and living he lavish lifestyle way back before domo came to the scene, let me remind you , before Domo there was a rich man Ivan , yan a move on kwa ivan millionaire Ndo asimove on kwa huyu mkata viuno wa Manzese? You must be a joke , wewe umesikia wap Zari alikua anamsumbua domo au kumpeleka mahakaman kwa ajil ya child support? Have a brain kidogo basi binamu, like seriously Zari ni mtu wa kubembeleza mtu Yule ? , you must be a joke binamu
 
Zetu dua

New Member
Jun 20, 2019
1
20
Wewe usioupenda umaskin humu inafanya nini ? Mwenzio Niko established sina njaa kama wewe ndio maana nime relax , sasa wewe usiyependa kufuatilia maisha ya watu humu unafany nn mxieew njaa unazo wewe
Mnachobishana misijakiona tatizo no post ya mtu ama mwenyewe domo anaendelea na mambo yake na watoto wa tandale ndio hivyo.cool down brothers wakati mnabishana watu wanaingiza chapaaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom