Diamond,Alikiba na Aslay Mtizameni msanii huyu

Snitch2020

Member
Aug 24, 2017
77
91
Mambo vipi wadau,mimi naitwa Snitch2020
Bila kupoteza muda ningependa kuwaambia kuwa nimevutiwa sana na style anayoitumia msanij huyu CheupeDawa. Video yake imetulia na Inaendana na maudhui ya wimbo wake. Hatujaona Wanawake wakidhalilishwa wala kutembea uchi. Nampa bigup sana Msanii na ningependa Hawa wasanii wetu wakubwa wamuige CheupeDawa. Japo anaishi Mamtoni lakin video yaje hajatumia gharama kubwa kuita mamodel wa kizungu kama wafanyavyo wasanii wetu wakubwa. Cheki video yake mwenyewe kisha unambie kama nimeboronga kumsifia



Wako katika ujenzi wa Tanzania ya viwanda Snitch2020
 
Nice quote. Keep watching EMPIRE.
Watching empire sounds some kind of Antics to me,I quit that after three or four episodes only, i rarely watch bongo movie but to admitt i got this qoute from one of late Kanumba's movie ( Ray kigosi & uwoya were in it too, can't remember the movie title)
 
Hii itakuwa ni wewe unajipigia promo. Kwa ufupi wimbo ni mbaya kwa mtazamo wangu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom