Jana ulitoboa masikio.
Leo unapaka Wanja.
kesho shababi Gang Chomba akikutomasa Kalio...je utarusha
ngumi?...
Haya ni madhara ya tangu utotoni! Wazazi wengi huwapaka watoto wao wanja wanapo kuwa wadogo, uenda ameendeleza katabia hako.
Jana ulitoboa masikio.
Leo unapaka Wanja.
kesho shababi Gang Chomba akikutomasa Kalio...je utarusha
ngumi?...
Mengine wanajifunza wao wenyewe ulimwenguni,sidhani kama wazazi wake walimfundisha na kuvua nguo na kuwaongesha watu makalio yake
View attachment 71572nasikiaga wanasemaga wanja sunna ni hadi kwa watoto wa kiume? watu ndomo ndomo ndomo woyooooooooooooooooooooooTupia wanja pale kati!
Ukiona manyoya!?.......
ujue kaishaliwa!