Hamna shida..ila nilitaka kujua tu mzeeKongozi kwani kuna shida gani akiwepo joti?
Point mkuu mtu kama Nape ni muimbaji mzuri tu anajua nn anachofanyaWatu wenye akili zao wamekaa wakaona huyo dogo anajua ndo maana wakampa shavu la kupafom lkn kuna viumbe hawajui chochote kuhusu mziki watakuambia jamaa hajui, mara hana sauti, sijui jukwaani mbovu yaani wanaongea ujinga ujinga tu ili mradi kuridhisha nafsi zao.
Hahahahahahahaaa nimejikuta nacheka yaan bila hata ya kujua ni nin kimenipelekea nichekeNifah, pita hapa mama'ngu utuamkie shikamoo..