Diamond afunguka baada ya Zari kumtembelea Ivan,amtaka Zari aache kupost kila kitu mtandaoni

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Daiamond amesema ni kitu poa kumtembelea kwa kuwa ni ubinadamu na hata akihitaji fedha za matibabu atampa, hajawahi kuwa na ugomvi nae ila wapambe wake ndio wanashadadia
Pia anamwambia Zari aache kuweka kila kitu mtandaoni maana anaonekana anatafuta kiki

Kwamba wanaelewana na angehitaji hela ya matibabu angempa?
Binafsi ni mpenzi wa nyimbo za Diamond.
Ila kwenye kujibu maswali bado hajaweza kumudu vizuri
Nadhani anapaswa kuendelea kujifunza zaidi na zaidi kutoka kwa wenzake
niliwahi kusikiliza interview yake na Ommydimpoz kipindi kile cha kupumuliana
But to Ommy I was like waoooo! What an amazing interview
 
Haya ndio matatizo ya utajiri wa masharti ya miaka saba. Wakati bata ndio zimekolea, mara mda wako nao unakuaw umeisha hivyo inabidi uage Dunia. Pole sana shem wetu wa zamani... Tamaa ya utajiri imekuponza. Sasa unakufa kijana kabla ya umri muafaka uliopangiwa na Mola!
 
Tatizo elimu!
 
Upuuzi anataka kusema hana mawasiliano ya Zari?

Huyu mpuuzi aache kutafuta kiki
 
Haya ndio matatizo ya utajiri wa masharti ya miaka saba. Wakati bata ndio zimekolea, mara mda wako nao unakuaw umeisha hivyo inabidi uage Dunia. Pole sana shem wetu wa zamani... Tamaa ya utajiri imekuponza. Sasa unakufa kijana kabla ya umri muafaka uliopangiwa na Mola!
Astaghfirullah!
 
Hio picha inasemekana ni ya dokta ulimboka kipondi ana hali mbaya baada ya kutekwa. Watu wameshadidia ni ivan aisee watanzania tunatia aibu sana
Numbisa,
Yaani inasikitisha sana kubandikwa picha isiyo sahihi, Kumezuka kamtindo ka watu kuweka picha za kuogofya ovyo ovyo katika akaunti za youtube na mitandao ili wapate views (kiki) kibao, huku ni kukiuka maadili ya kimtandao. Wenye mitandao na akauti ktk social media haihitaji kuonesha watu wakiwa hoi/marehemu/majeruhi ndiyo utapata kiki, unawweza kuandika tukio kwa ufasaha na kupata view nyingi tu bila kudhalilisha wahanga.
 
Haya ndio matatizo ya utajiri wa masharti ya miaka saba. Wakati bata ndio zimekolea, mara mda wako nao unakuaw umeisha hivyo inabidi uage Dunia. Pole sana shem wetu wa zamani... Tamaa ya utajiri imekuponza. Sasa unakufa kijana kabla ya umri muafaka uliopangiwa na Mola!
Nilikua sijui hili na yeye mwenyewe ni mganga nasikia
 
Ndo ivo Shunie. Usije ukamkataa kijana mwenye maisha ya kawaida ukaangukia kwa tajiri mwenye utajiri wa masharti. Utajutaa! Huenda na Zari analijua hilo ndio maana akaamua kumtelekeza mapemaa, baada ya kuchuma vyake.
 
Haya ndio matatizo ya utajiri wa masharti ya miaka saba. Wakati bata ndio zimekolea, mara mda wako nao unakuaw umeisha hivyo inabidi uage Dunia. Pole sana shem wetu wa zamani... Tamaa ya utajiri imekuponza. Sasa unakufa kijana kabla ya umri muafaka uliopangiwa na Mola!
Hela ya ngada ina masharti ya kuishi miaka 7?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom