abou
JF-Expert Member
- Mar 4, 2011
- 372
- 390
Unajua ulichokisema, achana na maneno ya mitaani, zakaria haishi nhc (hili ni kwa uhakika kwa miaka 20 hivi, hajahama anapoishi), ama unamzungumzia zakaria mwenginePost uliyo-quote nimesema nini?!
Unajua ulichokisema, achana na maneno ya mitaani, zakaria haishi nhc (hili ni kwa uhakika kwa miaka 20 hivi, hajahama anapoishi), ama unamzungumzia zakaria mwenginePost uliyo-quote nimesema nini?!
Si unajua huku kwetu bongo ukijenga tu una hela, Utasikia "Kiranga ana hela, amejenga anaishi kwake yule"Kwani Diamond kaacha muziki siku hizi amekuwa mjenzi wa nyumba?
Wakati kujenga ni haki ya msingi ya kila mtu.Si unajua huku kwetu bongo ukijenga tu una hela, Utasikia "Kiranga ana hela, amejenga anaishi kwake yule"
Kwa nini makazi ni haki ya msingi na kujenga si haki ya msingi?Kujenga sio haki ya kimsingi.
Makazi ndio haki ya kimsingi.
Nilikuwa nakuelewesha ilo, mnaweza endelea na mjadala wenu.
Haki ya makazi inaendana na haki ya adequate housing.Kuwa na makazi sio lazima yawe ya kujenga mwenyewe.
Unaweza kukatazwa kujenga nyumba yako lakini ukawa haujanyimwa haki ya makazi.
Amepitwa hadi na AkotheeMbona nimeangalia hata top 20 hayupo?
Kuna orodha imetolewa huko kwa jamaa anae jiita mtu wa kigoma. Hata mie sijaona.umetazama wapi?
Faida anayoipata kwenye muziki akiwekeza kwenye vitu vya maana kama nyumba/vijinyumba au kufanikisha kuitumia brand-name yake aliyoijenga kutokana na muziki akapata vijishea sehemu na sehemu anasifika zaidi na kuonekana mwenye akili kuliko kuishia kuwa na umaarufu ambao kama ghafla kwa bahati mbaya akipata matatizo nje ya uwezo wake,mfano cancer ya koo mpaka akose hata miambili miambili ambazo kodi ya vinyumba au vijishea vinaweza kuwa vinamuingizia ni kukosa akili.Wakati kujenga ni haki ya msingi ya kila mtu.
Mimi nilifikiri mwanamuziki anasifiwa kwa muziki.
The whole thing is absurd.Faida anayoipata kwenye muziki akiwekeza kwenye vitu vya maana kama nyumba/vijinyumba au kufanikisha kuitumia brand-name yake aliyoijenga kutokana na muziki akapata vijishea sehemu na sehemu anasifika zaidi na kuonekana mwenye akili kuliko kuishia kuwa na umaarufu ambao kama ghafla kwa bahati mbaya akipata matatizo nje ya uwezo wake,mfano cancer ya koo mpaka akose hata miambili miambili ambazo kodi ya vinyumba au vijishea vinaweza kuwa vinamuingizia ni kukosa akili.
Huyo anayesimangwa hapa amewazidi akili wanamuziki wengine wengi Bongo, kuanzia kujua kutumia fursa, kujua kuitumia brand-name yake na kuwekeza kwa kadri ya uwezo wake.
Ametoka mbali, ukiangalia alipoanzia mpaka kufika kuwa topic (heated debate/arguments) kwa watu wanaojinadi ya kuwa ni great thinkers, yaani wanapoteza muda wao kumjadili mpaka mjadala kuanza kutumia mifano ya global billionaires ili kueleweshana mambo ya shares kijana amepiga hatua kubwa sana.
Ukichunguza hizi arguments wengi wa washiriki ni hardcore fanatics vs hardcore haters japo hawawezi kujikubali kuwa wako katika classifications hizo ila mijadala yao inawabainisha hivyo.