Diamond achaguliwa kwenye "we are the world "Africa

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,712
5,032
Hahaha muzeee wa project a.k.a msaniii bora East africa A.k.a ngazi ya waliopotea amechaguliwa kwenye Le project mpya ya We are the world africa

Projekt hiyo imewashirikisha wasanii wote bora kutoka Afrika ,kwa kutambua uwezo nafasi ya Dai hawakusita kumchagua.....

Tokea kuisha kwa fiesta haya ndio matukio makubwa aliyofanya Dai huku wale wasanii wa fiesta wakisubiri mwakani msimu wa fiesta uanze..

1. kupiga shoo zaidi ya 15 hapa tz na nje

2. kuperfom kwenye Big brother

3. Kutoa nyimbo mpya yenye Video kali saana

4. Kuvunja rekodi za youtube, mkito.com na Mziiki.com

5. Kutoa nyimbo na msanii kitoka Nigeria "Waje"

6. kuujaza uwanja(stadium) Iringa yeye mwenyewe

7.kuchaguliwa kwenye Project ya We are te world Afrika

8. stil counting

Utaipendraaaaaaaaaaaa
 
Dogo msimu huu Mola kamkunia nazi kabisa, acha ajichane hata siku moja aje ajengewe sanamu la heshima na serikali.
 
jaman al k mbona hayupo katika hiyo project wakat ni msanii mkubwa sana na ameshafanya kolabo matratra na la international na r kely,sio sawa kabsa
 
Mchicha unapatikana kwa bei nafuu; najua wengi macho yamezeeka kwa sababu ya matumizi ya simu hasa JF. Ni PM mpka nyumbani nitaleta.
 
Attachments

  • 1417199827886.jpg
    1417199827886.jpg
    151.3 KB · Views: 493
Dogo msimu huu Mola kamkunia nazi kabisa, acha ajichane hata siku moja aje ajengewe sanamu la heshima na serikali.

Halafu wanakazana karoga karogaaa...km vipi waroge na wao wafanye km diamond. ..siku zote bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi...kila mtu kaumbiwa lake dunian...mwache ale nchi iikifika tym nae atapokeza kijiti kwa mwengine..thtslife ....lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom