Diallo TV na Ulokole kwenye sherehe ya mwaka mpya

Naona hujui nini maaana ya biashsra huru. kama star TV ilikuboa ishia
 
Wewe huoni kuwa kila mtu anakushambulia, hata aliyekimbia Star Tv ni wewe tu siku hiyo.Umesema kweli kuwa siku ya mwaka mpya ni ya kila mtu. Wa ngwasuma TVT, walokole Star TV na ATN,waliotaka kuona wazungu na vituko vyao waliangalia CNN,BBC...
 
na wenye kupenda picha za ngono wakaweka dvd zao,,sio lazima waanaglie tv,
iku njema joel
 
Hapo kila mtu na mtizamo wake ukiona hufurahishwi napo angalia na pande nyingine
 
Hapa hakuna suala la udini ndugu yangu.Kama wangekuwa wametangaza mawaidha ya dini ya Kiislamu kwenye hafla hiyo wala nisingefurahia hata kidogo kwa sababu ningekuwa nafanya ubaguzi wa kidini dhidi ya wale wasiokuwa Waislamu.Nilitaka tu kuonesha jinsi hisia za kidini zisivyofaa kuingizwa katika mambo ya binadamu wote kama vile sherehe za mwaka mpya.Ingekuwa sherehe ya Krismas wala nisingesema kitu maana program ingekuwa ikienda sanjari na siku ya kuzaliwa Yesu.
Kwa mfano huwezi kusherehekea siku ya mapinduzi ya Zanzibar kwa kuimba kaswida na kuandaa mikutano mikubwa ya kumsalia Mtume kama vile ambavyo haiwezekani kusherehekea Pasaka kwa kufanya gwaride la polisi.Kila sherehe inatakiwa kusherehekewa kwa maudhui yake.Pamoja na kwamba mwaka unaosherehekewa ni wa kikristo lakini ndiyo mwaka wa dunia kwa sasa kwa maana ya mataifa mengi yasiyokuwa ya Kikristo yanachukulia huo mwaka kuwa ndiyo mwaka rasmi.nadahani umenielewa ndugu PDiddy.

Kwa hiyo ktk kusheherekea mwaka mpya ulitaka tupige mizinga 21 na kupata hptuba za kisiasa kutoka kwa wanasiasa wachovu wa bongo?

Ndugu yangu unapotoka sana maana uhuru wa kuabudu tuliopewa kikatiba naona unaanza kuuingilia kinyume na maumbile.
 
1. Biashara ni kutafuta faida! sasa kama watu wa dini wanaleta pesa sikuu ya tar. 31 Dec je nikatae??

2. Hii siyo TVT ni binafsi!
 
Sasa tukianza kusema hivi vyote tukumbuke TVT ilivyoonesha siku ya Krismasi kuzaliwa kwa Kristo basing on Islamic percetion. Why they did that i am yet to understand.

If the same thing would have been done to Muslims, i think by now we would still be answering.
 
Back
Top Bottom