Diallo sues author Msemakweli for damages | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diallo sues author Msemakweli for damages

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Anfaal, Jun 5, 2010.

 1. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Diallo sues author Msemakweli for damages

  By DAILY NEWS

  THE Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam today ordered activist Kainerugaba Msemakweli to remove from circulation for sale or any purpose all booklets titled "orodha ya mafisadi wa elimu” implicating several personalities, including former cabinet minister Antony Diallo.

  Resident Magistrate Aniseta Wambura granted an interim order, restraining further Msemakweli, his agents, servants or workmen working under him from further publishing and printing the booklets, first edition, containing a list of shoddy degree and diploma holders.


  She ordered that the order would remain in force pending determination of main suit lodged by Dr Diallo, currently Member of Parliament (MP) for Ilemela Constituency (CCM) in Mwanza Region through his advocate Mafuru Mafuru.


  The suit has been scheduled for mention on June 23. In the suit, the MP is demanding, among others, payments of 200m/- as damages for publishing the booklets in question. He is also seeking orders requiring Msemakweli to publish a retraction of the malicious publications and unconditional apology on the front page of any newspaper.


  Dr Diallo stated in the suit that he is a businessman and politician, who served the government in different capacities for 12 years in the third and fourth phase governments, as deputy minister and full minister in four different ministries. The ministries include Ministry of Industry and Trade and Ministry of Water Resources and Livestock Development.


  He was deputy minister in the Ministry of Natural Resources and Tourism and Livestock Development as full minister. As a businessman, he claimed, he was a qualified person in service of marketing, business administration and management specialist with 20 years of experience of management in the field of manufacturing.


  Academically, Dr Diallo stated that he held several qualifications, which included Certificate in Business Administration (Newcastle 2001), Diploma in Technology Management (Netherlands -- 1992), Advanced Management Programme (Harvard Business School USA-1994) and Master of Business Administration (Newcastle University 2004-2005).


  He also holds a Bachelor of Science degree in Business (Phoenix University), Master of International Management (Phoenix University 2006-2007), Doctor of Business Administration (University of Newcastle 2005-2008) and Master of Aviation Management at the same university in 2009.


  According to him, in September last year, at his own instance and sheer move and without truth and justification, Msemakweli published the booklet for sale, covering different personalities, containing defamatory statements at its pages 34 to 39, showing Dialo held fake certificates.


  The published statement, he stated, clearly indicated a premeditated and well orchestrated campaign aimed at portraying directly an innuendo and position that he was a fraudster, forger, dishonest businessman and politician, guilty of dishonourable conduct and not fit to hold any post.


  Due to such defamation, he stated, he has been seriously lowered in the estimation of right thinking members of the society, impeached to the injury of his business and political career, subjected to mental anguish, public odium, contempt, ridicule and social embarrassments.


  Furthermore, Dr Diallo stated that the publication was calculated to bring into hatred and excite dissatisfaction to his voters and shun away from him for the general elections scheduled for October, this year. From such gross libel, he stated, he was entitled to the damages.


  Mh hiyo DBA yake sasa:

  Newcastle wanayo hiyo ya 5 years. Sasa sijui kweli alifanya Newacastle University au nyingine? Tutasaidia kuuutafuta ukweli maana km amejitutumua hivyo itabidi nasi tuutafute ukweli wake wa Newcastle.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Bw'e he he...huyu jamaa ni comedian flani hivi..Kwa harakaharaka unaeza ona hapa kuna uwalakini. Hiyo misatifiketi takriban nane (8) yote ya nini? Halafu baada ya kupata 'PhD' 2008, mwaka uliofuata akaenda kupata 'Masters' nyingine..he he he..

  Kazi hipo

   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Labda atusaidie 'list of publications'..tione ati..
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  hapo kuna kitu kimoja nadhani kinashindwa kuwekwa sawa, hivyo vyeti vinaweza kuwa ni vya kweli hata ukiconfirm chuoni watakwambia ni vya kweli, na kimahakama itavitambua kuwa hivyo vyeti ni genuine, kama Msemakweli aliandika kuwa hivyo vyeti ni vya uongo basi anaweza kuwa na kesi ya kujibu, lakini kama aliandika kuwa anawasiwasi na elimu ya huyo bwana kama kweli ni sahihi kwa muda mfupi namna hiyo kukusanya mzigo wa "Title" Bsc, Masters, Phd hapo nadhani kitakachofata ni ukaguzi wa elimu aliyosoma

  hii issue inaweza kuwa kama ile ya walimu wa mzumbe, ni kweli walikuwa na vyeti vya Phd, lakini havikuwa kwenye kiwango kinachokubaliwa, kwa hiyo uwezi kusema wana vyeti fake, vyeti vilikuwa ni sahihi lakini Elimu ilikuwa fake
   
 5. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [​IMG]Dr. Anthony M. Diallo - Graduates.com - Find Classmates friends and alumni. High School Reunion.
  Dr. Anthony M. Diallo [​IMG] [​IMG]  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [View] ​


  Contact Info

  [​IMG] Email this member
  Website: www.communityairtz.com
  City: Dar Es Salaam
  State/Province: DAR
  Country: Tanzania
  Member Since: Jul 2007
  Others have viewed this page: 369 times


  Schools Attended

  1968 [​IMG] Nkoma (1)

  1992 [​IMG] Maastricht School of Management (38)

  1994 [​IMG] Harvard Business School (26)

  2005 [​IMG] The University Of Newcastle (56)

  2006 [​IMG] University Of Phoenix (98)

  2007 [​IMG] University Of Phoenix (98)
  About Me
  I am working for the Government of the United Republic of Tanzania.

  Interests
  Reading and Learning of New things. Soccer
  See the Top Interests
  Favorite Music

  See the Top Favorite Music
  Favorite Books
  All Philosophical books by ALL Authors.
  See the Top Favorite Books
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Katika kila chuo kuna admission requirements ambazo mwanafunzi anatakiwa awe nazo kabla hajasajiliwa. Huyu Diallo kisomo alichokuwa nacho ni darasa la saba halafu akasomea nursing[kufunga vidonda]; sasa hivyo vyuo alivyokwenda kusoma walimsajili kwa qualification hizi za nursing orderly au alipeleka vyeti vya kufoji?

  Msema kweli lazima amuulize huyu bwana hapo mahakamani na aweze kutoa ushahidi wa jinsi alivyosajiliwa katika hivyo vyuo anavyosema amesoma.
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Ah kumbe inawezekana huyu bwana ndiye alinunua vitabu vyote pale mjini Mwanza ili wapiga kura wake wasijue kuwa mbunge wao ni Kihiyo,hata mdogo wake naye alituhumia kuwa ana vyeti vya kufoji wakati akigombea uongozi TFF na ni kweli hawa jamaa ni vilaza ila wanatumia vijisenti vyao kwenda vyuo vya uswahilini huko Uingereza na kupata digrii za English kozi kama za chuo cha English kozi Buguruni
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Jun 6, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Hawa watu bogus wanapokuwa na madaraka ndio wanaochangia sana kuzidi kutuharibia nchi.

  Ukiongea na Dialo, kuwa makini usitie neno la kitekniko, atalidiakioa papo kwa papo hata kama hajui maana yake. Zamani sana miaka ya themanini nilikuwa pale kiwandani kwake Nyakato kwa shughuli zangu, nikataka kumwuliza kwa nini wasiwe wanatengeza inverters kwa kutumia MOSFETs, ila nikaanza kwa kumwuliza kama anazijua MOSFETS. Sasa sikumaliza matamshi ya MOSFET nikasema MOSFE bila kumaliza ile T kwa vile alidakia kunionyesha jambo fulani. Baada ya hapo akanijibu tena kwa haraka haraka kuwa DM investments ndiyo kampuni pekee inayotumia teknology ya MOSFE peke yake Afrika ya Mashariki yote.

  Nikagundua jamaa ni Kilaza kabisa, wala sikuendelea kwa sababu ningelazimika kumbishia, jambo ambalo lisingekuwa zuri. Ila nadhani ni mjanja sana kibishara, ndiyo maana ana mafanikio makubwa katika nyanja hiyo. Upande wa Siasa sidhani kama ana uwezo wowote zaidi ya pesa; sijawahi kuona michango yake bungeni kama mbunge. Siasa za Tanzanioa zinatawaliwa na pesa tu.
   
 9. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lol..mkuu unaiomba maiti damu?
   
 10. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2010
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,272
  Likes Received: 4,256
  Trophy Points: 280
  Duh yani jamaa hajawahi kusoma Tanzania
   
 11. d

  damn JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hapo kwenye red, ni mushkeli, mbona hasemi kuwa alisoma nursing. Au form four, six....
   
 12. d

  damn JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hILI NALO NENO. hIYO MASTER OF AVIATION NI CHUO GANI? NIMEASSUME KUWA NI NEWCASTLE UNIVERSITY AU UNIVERSITY OF PHOENIX - KATIKA VYUO HIVYO WHETHER TAUGHT OR RESEARCH HAKUNA DEGREE MASTER OF AVIATION MANAGEMENT. LABDA SIJAONA VIZURI, MIWANI YANGU IMEVUNJIKA BUT NIMEAZIMA YA JIRANI YANGU SIJAONA HIYO TYPE OF DEGREE.
   
 13. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :tonguez: Mshikaji kajaa upepo
   
 14. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kitu ambacho sielewi ni kwa nini wanasiasa wetu wanapenda sana kutumia title za "Dk", "Prof" nk. Kwenye nchi za wenzetu mtu hatumii title hizo nje ya academia.
   
 15. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Phoenix tumeshaijua unaweza kupata degree bila shida hazisumbui kabisa hata ya wiki utaipata. Labda angesema Newcastle ipi maana ya UK hakusoma labda Australia au wapi ili tufaham vyema.
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Jamaa alikuwa anakusanya 'certificates' wakati akiwa ktk active ministerial posts au kwene mabiashara yake. Jamaa kama kweli alikusanya hizo certificate at the same time akirandaranda kwene madili yake mengine basi inabidi walau atuoneshe kazi zake maana ni jinias huyu..lazma atakuwa ameandika 'Principia Mathematica' kadhaa..he he he..
   
 17. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Kulingana na link aliyobandika GRADUATE.COM hapo juu, anadai amesoma University of Newcastle iliyopo Australia. Lakini thesis search kwenye website ya UoN haionyeshi records zozote za Anthony Diallo:

  For search Results: http://library.newcastle.edu.au/search~S16/cthesis/cthesis/1%2C3544%2C3708%2CB/limit (Tumia: Year of Publication = After "2007", Material Type = "Theses", Language = "English")

  NEWCAT - the Library Catalogue of the University of Newcastle, Australia

  Searching for Theses

  University of Newcastle Theses

  Copies of all University of Newcastle PhD and Masters theses, as well as selected History Honours theses relevant to the region, are held in the Archives, Rare Books and Special Collection section of the Auchmuty Library. PhD and Masters theses completed at the Central Coast Campus are held in the Rare Books in the Ourimbah Library. All theses are catalogued and have an entry in NEWCAT.

  A growing number of electronic versions of theses can be found via the Australian Digital Theses Program page. Information on depositing theses can also be found on these pages.

  Copies of honours theses are not held in the Auchmuty Library. Please contact the appropriate University department for more details of these.

  To find theses in NEWCAT:

  if you know the Author or Title of the thesis, simply search using these options.
  if you want to find all the theses of a particular Department or subject:
  select Call Number search (under the Other Searches button) and type thesis. A complete list of all theses will be displayed.
  select the Limit/Sort option, and either select Words in the AUTHOR and type in the Department name (e.g. history, electrical engineering), or select Words in the SUBJECT, and type in the topic you are interested in.
   
 18. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  hapa ukweli utajulikana tu, ila inabidi Msemakweli akubali kutumia mawakili wengine wawili hivi. Dr(!?) Dialo atakuwa na mawakili wajanja wanaoweza kumsumbua kama atajitetea mwenyewe. Msemakweli anatakiwa kujipanga vizuri. Hivi intelligensia ya nchi yetu inafanya kazi gani? au huu wizi wa digrii hauhatarishi usalama wa Taifa? aibu tupu...
   
 19. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa ni fake kweli. Wakati anapiga Master yake Phoenix alikuwa anafanya PhD Newcastle. Hivi ameenda mahakamani kufanya nn? Kwanini asingekauka? AU just simple angewapelekea TCU wamsafishe tena ingechukua muda mfupi zaidi.
   
 20. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Hata hiyo "Master of Business Administration (Newcastle University 2004-2005)" nayo hakuna rekodi yoyote ya thesis. Thesis search results = SIFURI ...
   
Loading...