Diagnostic results za Volkswagen polo IV 2006

mutu murefu

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
918
2,264
Habari za muda huu wana jamvi.

Leo nilienda kufanya diagnostic test kwa hii volkswagen yangu.

Majibu ni kama nilivoainisha kwenye picha hii.
Naombeni wataalamu na wabobezi, nianze ku solve tatizo lipi hapo kwanza? maana yapo mengi na kwa sasa bajeti inaeza ku feli.. naomba mnisaidie kujua lipi tatizo la emergency na lipi linaeza kusubiri
1707b0d9-16ea-4f71-bb88-d32927c63064.jpg
 
Unajua kuclear codes muhimu. Kwamba kwanza afute zoote zilizopo ndio afanye diagnosis upya. Unaweza kuta amesoma ata ambazo zilikuwepo zamani na ulishazisolve.

Unaachaje gari gereji man. Usikute ata uzo code sio zako.

Asante sana boss nitamwambia hivo

tulikua wote garage nkapata emergency kabla hajamaliza na ilikua jioni so nkamwambia akimaliza anitumie nione, then leo naenda tunapima wote na kujadiliana nini kifanyike

na sikuweza kuondoka nayo gari maana brake pads zilikua zimeisha kabisa so tumeagiza zinafika leo

Lengo langu ilikua nishare huku jamii forum kwanza kwa wataalam ili asije nnavoenda nakua najua kila kitu asije akanipiga pesa kwa kutojua
 
Habari za muda huu wana jamvi.

Leo nilienda kufanya diagnostic test kwa hii volkswagen yangu.

Majibu ni kama nilivoainisha kwenye picha hii.
Naombeni wataalamu na wabobezi, nianze ku solve tatizo lipi hapo kwanza? maana yapo mengi na kwa sasa bajeti inaeza ku feli.. naomba mnisaidie kujua lipi tatizo la emergency na lipi linaeza kusubiriView attachment 1823852

Hapo naona Code nne au tano za engine.

1. Egr valve na sensor yake. Hapa ukiclean egr valve peke yake hiyo code inaweza isitoke. Hapa inatakiwa pia uitafute njia yake kwenye intake manfold.

2. Oxygen Sensor / inaweza kuwa zaidi ya moja.

3. Map sensor

4. CKP sensor/Speed sensor ya engine.

Hizo case 4 better tu ukarekebisha as kila moja inaaffect ufanisi wa engine. Na kama haikukuli kwenye mafuta basi itakuja kukukula kwenye other spares siku za mbeleni.

Hiyo Air condition sijajua upo mazingira yapi. Ila for now unaweza kutulia kwanza.
 
Hv inwezakana pia hapo issue ni kitu kimoja then kikazalisha errors zingne
Maana yake ukirekebisha error hiyo moja
Zingine zote zinakuwa sawa
Naongea from experience
Ya Audi A4 2007 , 2.0T QUATTRO
Ambayo ni kampuni moja na hiyo ta kwako hivyo same engineering.

Hizo ishu haziingiliani mkuu.

Sema ipo hivi, Huwa inategemea kama status ya code ni Current, Pending au History.

Current na Pending ishu itaondoka tu kama umesolve tatizo.

History ni ishu ilikuwepo then ikawa solved. It means ukifuta code nayo itaondoka.

Bahati mbaya jamaa alivoonesha huo mkeka wake haioneshi status ya codes.

Nimesahau tu kuandika ila naungana na wadau walioshauri afute codes halafu aendeshe gari ndio apime tena.
 
Hapo naona Code nne au tano za engine.

1. Egr valve na sensor yake. Hapa ukiclean egr valve peke yake hiyo code inaweza isitoke. Hapa inatakiwa pia uitafute njia yake kwenye intake manfold.

2. Oxygen Sensor / inaweza kuwa zaidi ya moja.

3. Map sensor

4. CKP sensor/Speed sensor ya engine.

Hizo case 4 better tu ukarekebisha as kila moja inaaffect ufanisi wa engine. Na kama haikukuli kwenye mafuta basi itakuja kukukula kwenye other spares siku za mbeleni.

Hiyo Air condition sijajua upo mazingira yapi. Ila for now unaweza kutulia kwanza.

Oh nashukuru sana mkuu kwa sasa nimeanza na EGR sensor pamoja, oxygen sensor na speed sensor (tumeagiza zitafika kesho)

Mafuta sijaona kama inakula ila kama ulivosema itakuja nisumbua mwishoni, kuhusu AC sio ishu kwa sasa, niko makambako kuna baridi kama yote
 
Hv inwezakana pia hapo issue ni kitu kimoja then kikazalisha errors zingne
Maana yake ukirekebisha error hiyo moja
Zingine zote zinakuwa sawa
Naongea from experience
Ya Audi A4 2007 , 2.0T QUATTRO
Ambayo ni kampuni moja na hiyo ta kwako hivyo same engineering.

hii kitu niliwahi pia kuambiwa, wanasema systems zina integrate so unaeza kuta kimoja kikizingua kina affect kingine.

Ndo mana tukashauriana tuanze na vitu major kama oxygen, EGr and speed sensors then tufanye diagnostic tena
 
Back
Top Bottom