Dhuluma mlizomfanyia Mbowe ipo siku zitawarudia. Hakuna aliyewahi mgusa Mbowe akabaki salama

Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,901
2,000
Huyu mbowe huyu mtu asiyejua kutukana mtu, mbowe ambaye hajawahi kumdhalilisha mtu, kuna mtu mstaarabu kama mbowe hapa Tz

Mshawahi muona mbowe akimtukana au kumchafua mtu?Mshawahi kumuona mbowe akijikweza japo katokea familia ya kishua?

Mbowe ni gaidi?Haimake sense kabisa, mbowe ana ugaidi gani jamani?Mbona mnamnyanyasa sana?

Naombeni niongee tu kibinadamu

-Mbowe ana moyo kama nyie

-Mbowe anahisi maumivu kama nyie

-Kibinadamu mbowe ni baba na ana mke na watoto nani aisimamie familia yake?

-Ni upumbavu kumuweka mtu ndani kwa makosa ambayo ni ya uongo

-Nakwambia dhuluma mlizomfanyia mbowe mungu atawalipa mchana kweupe

-Kwanza mliharibu mali zake, mkatuma dc mmoja akaharibu green house zake kule hai, hamkumchoka mkamuharibia biashara zake zote, mkaua bilcanas kila kitu mmeharibu

Basi hamkuridhika sasa mmempea kesi ya ugaidi....nyie ni binadamu gani aisee?hivi mna moyo ninyi....Ila sirro weweOne day mungu atakulipa....You will pay for what you did....Ulitumwa na mwendazake leo yuko wapi

Na mungu alivyo fundi hakuna alowahi mgusa mbowe akabaki salama,jiulize why,,,mbowe ni hai na hai mbowe mtaikuta na mtaiacha na jimbo litabaki tu la chadema

Mama nakushangaa sana, hivi inakuaje unakubali jambo hili linakutia doa utawala wako?Mama unaheshimika ujue, huko nje wanakukubali mnoo but kwa hili unajiharibia sana, unatengeneza maadui mama pls stop this kuna nafsi inaniambia labda hauna mkono katika hii kesi lakini pls can you stop this oppression?Ondoa huu ukandamizaji

Kwanini bado tunaruhusu makesi yaloanzishwa na mwendazake yazidi kulitonesha kidonda hili taifa?Mama plz makesi yenye asili ya mwendazake yapigwe chini pls hakua na utu yule

Mimi nitakua wa mwisho kuamini mbowe ni gaidi kwanza haimake sense na hakuna igp anayenisikitisha kama sirro ila hakuna marefu yasiyo na ncha

Mateso alopitia mbowe ni magumu, na still akavumilia huyu jamaa ana moyo wa kimwamba aisee mimi hata robo siwezi narudia I can't! Wamemtesa sana wamemfanyia kila hujuma ila mungu atalipa soon
Usimlilie Mbowe, ililie nchi yako Tanzania.

Mbowe ni chachu, ni sehemu ya kuitakasa nchi yetu iondokane na hizi najisi zilizojitokeza katika hii miaka ya hivi karibuni.

Mbowe atakuwa salama, na alama za uwepo wake katika taifa hili itakuwepo daima.
 
onjwayo

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
1,135
2,000
Ninachokijua Ni kuwa waliomtengenezea Mbowe kesi ndio kwanza hawana Amani...
 
Kamugumya

JF-Expert Member
Aug 18, 2021
925
1,000
Chembechembe za yule mwovu joka kuu kuziondoa kwenye system itachukua muda sana. Bado watesi wenye roho za kishetani ambao ndo alipenda sana kuwatumia kwa manufaa yake wamo na ndo wanaendelea kutesa watu itachukua muda kuusafisha nchii hii. Sasa kwa hali hii fikiria angekaa miaka kumi hali ingekuwaje? Kristi....Tumaini Letu.
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
4,320
2,000
Huyu mbowe huyu mtu asiyejua kutukana mtu, mbowe ambaye hajawahi kumdhalilisha mtu, kuna mtu mstaarabu kama mbowe hapa Tz

Mshawahi muona mbowe akimtukana au kumchafua mtu?Mshawahi kumuona mbowe akijikweza japo katokea familia ya kishua?

Mbowe ni gaidi?Haimake sense kabisa, mbowe ana ugaidi gani jamani?Mbona mnamnyanyasa sana?

Naombeni niongee tu kibinadamu

-Mbowe ana moyo kama nyie

-Mbowe anahisi maumivu kama nyie

-Kibinadamu mbowe ni baba na ana mke na watoto nani aisimamie familia yake?

-Ni upumbavu kumuweka mtu ndani kwa makosa ambayo ni ya uongo

-Nakwambia dhuluma mlizomfanyia mbowe mungu atawalipa mchana kweupe

-Kwanza mliharibu mali zake, mkatuma dc mmoja akaharibu green house zake kule hai, hamkumchoka mkamuharibia biashara zake zote, mkaua bilcanas kila kitu mmeharibu

Basi hamkuridhika sasa mmempea kesi ya ugaidi....nyie ni binadamu gani aisee?hivi mna moyo ninyi....Ila sirro weweOne day mungu atakulipa....You will pay for what you did....Ulitumwa na mwendazake leo yuko wapi

Na mungu alivyo fundi hakuna alowahi mgusa mbowe akabaki salama,jiulize why,,,mbowe ni hai na hai mbowe mtaikuta na mtaiacha na jimbo litabaki tu la chadema

Mama nakushangaa sana, hivi inakuaje unakubali jambo hili linakutia doa utawala wako?Mama unaheshimika ujue, huko nje wanakukubali mnoo but kwa hili unajiharibia sana, unatengeneza maadui mama pls stop this kuna nafsi inaniambia labda hauna mkono katika hii kesi lakini pls can you stop this oppression?Ondoa huu ukandamizaji

Kwanini bado tunaruhusu makesi yaloanzishwa na mwendazake yazidi kulitonesha kidonda hili taifa?Mama plz makesi yenye asili ya mwendazake yapigwe chini pls hakua na utu yule

Mimi nitakua wa mwisho kuamini mbowe ni gaidi kwanza haimake sense na hakuna igp anayenisikitisha kama sirro ila hakuna marefu yasiyo na ncha

Mateso alopitia mbowe ni magumu, na still akavumilia huyu jamaa ana moyo wa kimwamba aisee mimi hata robo siwezi narudia I can't! Wamemtesa sana wamemfanyia kila hujuma ila mungu atalipa soon
Tatizo mnapiga kelele sana yie wapenzi wa CDM! Acheni kejeli zenu katika mwenendo wa kesi. Hii iwe ni funzo kwenu na fuatilia kimya kimya ati PGO, Kiangi, mtoto wa Mahita! Acheni
 
Ole jaminati

Senior Member
Sep 23, 2021
113
225
Huyu mbowe huyu mtu asiyejua kutukana mtu, mbowe ambaye hajawahi kumdhalilisha mtu, kuna mtu mstaarabu kama mbowe hapa Tz

Mshawahi muona mbowe akimtukana au kumchafua mtu?Mshawahi kumuona mbowe akijikweza japo katokea familia ya kishua?

Mbowe ni gaidi?Haimake sense kabisa, mbowe ana ugaidi gani jamani?Mbona mnamnyanyasa sana?

Naombeni niongee tu kibinadamu

-Mbowe ana moyo kama nyie

-Mbowe anahisi maumivu kama nyie

-Kibinadamu mbowe ni baba na ana mke na watoto nani aisimamie familia yake?

-Ni upumbavu kumuweka mtu ndani kwa makosa ambayo ni ya uongo

-Nakwambia dhuluma mlizomfanyia mbowe mungu atawalipa mchana kweupe

-Kwanza mliharibu mali zake, mkatuma dc mmoja akaharibu green house zake kule hai, hamkumchoka mkamuharibia biashara zake zote, mkaua bilcanas kila kitu mmeharibu

Basi hamkuridhika sasa mmempea kesi ya ugaidi....nyie ni binadamu gani aisee?hivi mna moyo ninyi....Ila sirro weweOne day mungu atakulipa....You will pay for what you did....Ulitumwa na mwendazake leo yuko wapi

Na mungu alivyo fundi hakuna alowahi mgusa mbowe akabaki salama,jiulize why,,,mbowe ni hai na hai mbowe mtaikuta na mtaiacha na jimbo litabaki tu la chadema

Mama nakushangaa sana, hivi inakuaje unakubali jambo hili linakutia doa utawala wako?Mama unaheshimika ujue, huko nje wanakukubali mnoo but kwa hili unajiharibia sana, unatengeneza maadui mama pls stop this kuna nafsi inaniambia labda hauna mkono katika hii kesi lakini pls can you stop this oppression?Ondoa huu ukandamizaji

Kwanini bado tunaruhusu makesi yaloanzishwa na mwendazake yazidi kulitonesha kidonda hili taifa?Mama plz makesi yenye asili ya mwendazake yapigwe chini pls hakua na utu yule

Mimi nitakua wa mwisho kuamini mbowe ni gaidi kwanza haimake sense na hakuna igp anayenisikitisha kama sirro ila hakuna marefu yasiyo na ncha

Mateso alopitia mbowe ni magumu, na still akavumilia huyu jamaa ana moyo wa kimwamba aisee mimi hata robo siwezi narudia I can't! Wamemtesa sana wamemfanyia kila hujuma ila mungu atalipa soon
Hao wwnye madaraka wanadhan watakuwa viongozi milele ipo siku zamu yao itafika pia malipo hapa hapa dunian
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
2,613

Nakumbuka zamani zile, vilio vya wana wa nchi vilipoanza kusikika kila kona ya nchi. Maombi ya "one term President" yaliaanza kusikika. Wenye maono kama akina Lema wakaonyeshwa poromoko la mtawala mkuu hadi mautini.

Mara paa! Maombi yao yakapata kusikilizwa. Sasa ni majira mengine. Hatutegemei kuanza kuyasikia maombi ya namna eti kwa sababu tu ya kiburi cha uzima cha watawala wa sasa.
 
Chura

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
723
1,000
Huyu mbowe huyu mtu asiyejua kutukana mtu, mbowe ambaye hajawahi kumdhalilisha mtu, kuna mtu mstaarabu kama mbowe hapa Tz

Mshawahi muona mbowe akimtukana au kumchafua mtu?Mshawahi kumuona mbowe akijikweza japo katokea familia ya kishua?

Mbowe ni gaidi?Haimake sense kabisa, mbowe ana ugaidi gani jamani?Mbona mnamnyanyasa sana?

Naombeni niongee tu kibinadamu

-Mbowe ana moyo kama nyie

-Mbowe anahisi maumivu kama nyie

-Kibinadamu mbowe ni baba na ana mke na watoto nani aisimamie familia yake?

-Ni upumbavu kumuweka mtu ndani kwa makosa ambayo ni ya uongo

-Nakwambia dhuluma mlizomfanyia mbowe mungu atawalipa mchana kweupe

-Kwanza mliharibu mali zake, mkatuma dc mmoja akaharibu green house zake kule hai, hamkumchoka mkamuharibia biashara zake zote, mkaua bilcanas kila kitu mmeharibu

Basi hamkuridhika sasa mmempea kesi ya ugaidi....nyie ni binadamu gani aisee?hivi mna moyo ninyi....Ila sirro weweOne day mungu atakulipa....You will pay for what you did....Ulitumwa na mwendazake leo yuko wapi

Na mungu alivyo fundi hakuna alowahi mgusa mbowe akabaki salama,jiulize why,,,mbowe ni hai na hai mbowe mtaikuta na mtaiacha na jimbo litabaki tu la chadema

Mama nakushangaa sana, hivi inakuaje unakubali jambo hili linakutia doa utawala wako?Mama unaheshimika ujue, huko nje wanakukubali mnoo but kwa hili unajiharibia sana, unatengeneza maadui mama pls stop this kuna nafsi inaniambia labda hauna mkono katika hii kesi lakini pls can you stop this oppression?Ondoa huu ukandamizaji

Kwanini bado tunaruhusu makesi yaloanzishwa na mwendazake yazidi kulitonesha kidonda hili taifa?Mama plz makesi yenye asili ya mwendazake yapigwe chini pls hakua na utu yule

Mimi nitakua wa mwisho kuamini mbowe ni gaidi kwanza haimake sense na hakuna igp anayenisikitisha kama sirro ila hakuna marefu yasiyo na ncha

Mateso alopitia mbowe ni magumu, na still akavumilia huyu jamaa ana moyo wa kimwamba aisee mimi hata robo siwezi narudia I can't! Wamemtesa sana wamemfanyia kila hujuma ila mungu atalipa soon
Mtasema yote mda bado
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,603

kunajamaa alijaribu kushindana dakika za mwisho meza ikapinduliwa much 17
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,603
2,000
Unadhani wewe meza haitapinduliwa?
Kufa ni suala la mda tu,uwe unatenda mema au mabaya. Tumia akili yako kuwaza vema.

Sasa kama kila mtu atakufa ni nini kilichokuwa kinamfanya awinde roho za wenzie usiku na mchana alijuwa ataishi milele
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,055
2,000
Huyu mbowe huyu mtu asiyejua kutukana mtu, mbowe ambaye hajawahi kumdhalilisha mtu, kuna mtu mstaarabu kama mbowe hapa Tz

Mshawahi muona mbowe akimtukana au kumchafua mtu?Mshawahi kumuona mbowe akijikweza japo katokea familia ya kishua?

Mbowe ni gaidi?Haimake sense kabisa, mbowe ana ugaidi gani jamani?Mbona mnamnyanyasa sana?

Naombeni niongee tu kibinadamu

-Mbowe ana moyo kama nyie

-Mbowe anahisi maumivu kama nyie

-Kibinadamu mbowe ni baba na ana mke na watoto nani aisimamie familia yake?

-Ni upumbavu kumuweka mtu ndani kwa makosa ambayo ni ya uongo

-Nakwambia dhuluma mlizomfanyia mbowe mungu atawalipa mchana kweupe

-Kwanza mliharibu mali zake, mkatuma dc mmoja akaharibu green house zake kule hai, hamkumchoka mkamuharibia biashara zake zote, mkaua bilcanas kila kitu mmeharibu

Basi hamkuridhika sasa mmempea kesi ya ugaidi....nyie ni binadamu gani aisee?hivi mna moyo ninyi....Ila sirro weweOne day mungu atakulipa....You will pay for what you did....Ulitumwa na mwendazake leo yuko wapi

Na mungu alivyo fundi hakuna alowahi mgusa mbowe akabaki salama,jiulize why,,,mbowe ni hai na hai mbowe mtaikuta na mtaiacha na jimbo litabaki tu la chadema

Mama nakushangaa sana, hivi inakuaje unakubali jambo hili linakutia doa utawala wako?Mama unaheshimika ujue, huko nje wanakukubali mnoo but kwa hili unajiharibia sana, unatengeneza maadui mama pls stop this kuna nafsi inaniambia labda hauna mkono katika hii kesi lakini pls can you stop this oppression?Ondoa huu ukandamizaji

Kwanini bado tunaruhusu makesi yaloanzishwa na mwendazake yazidi kulitonesha kidonda hili taifa?Mama plz makesi yenye asili ya mwendazake yapigwe chini pls hakua na utu yule

Mimi nitakua wa mwisho kuamini mbowe ni gaidi kwanza haimake sense na hakuna igp anayenisikitisha kama sirro ila hakuna marefu yasiyo na ncha

Mateso alopitia mbowe ni magumu, na still akavumilia huyu jamaa ana moyo wa kimwamba aisee mimi hata robo siwezi narudia I can't! Wamemtesa sana wamemfanyia kila hujuma ila mungu atalipa soon
Kujifariji ni jambo jema
 
Bukali

JF-Expert Member
May 7, 2018
1,124
2,000
Sasa kama kila mtu atakufa ni nini kilichokuwa kinamfanya awinde roho za wenzie usiku na mchana alijuwa ataishi milele
Hapo ulipo nadhani hujawahi kuwa hata monotor darasani.
Siku ukiwa kiongozi hata wa nyumba kumi.
Urudi hapa uje unipe mrejesho mkuu,kuongoza siyo mchezo mbona hamzungumzi issue ya akina dk Ulimboka kung'olewa makucha kipindi kile.
Hakuna taasisi isiyo chukua maamzi ya kuwapoteza baadhi ya watu,iwe ya dini,serikali,ama katka taasisi yoyote ambayo inainterest na kitu flani.
Hauta nielewa kwakuwa nimetaja taasisi za dini,lakini ukweli ndo huo.
Hakuna serikali isiyo ya fanya hayo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom