Dhuluma mlizomfanyia Mbowe ipo siku zitawarudia. Hakuna aliyewahi mgusa Mbowe akabaki salama

Huyu Mbowe huyu mtu asiyejua kutukana mtu, Mbowe ambaye hajawahi kumdhalilisha mtu, kuna mtu mstaarabu kama Mbowe hapa Tz

Mshawahi muona Mbowe akimtukana au kumchafua mtu?Mshawahi kumuona Mbowe akijikweza japo katokea familia ya kishua?

Mbowe ni gaidi? Haimake sense kabisa, Mbowe ana ugaidi gani jamani?Mbona mnamnyanyasa sana?

Naombeni niongee tu kibinadamu

-Mbowe ana moyo kama nyie

-Mbowe anahisi maumivu kama nyie

-Kibinadamu Mbowe ni baba na ana mke na watoto nani aisimamie familia yake?

-Ni upumbavu kumuweka mtu ndani kwa makosa ambayo ni ya uongo

-Nakwambia dhuluma mlizomfanyia Mbowe mungu atawalipa mchana kweupe

-Kwanza mliharibu mali zake, mkatuma dc mmoja akaharibu green house zake kule hai, hamkumchoka mkamuharibia biashara zake zote, mkaua bilcanas kila kitu mmeharibu

Basi hamkuridhika sasa mmempea kesi ya ugaidi....nyie ni binadamu gani aisee?hivi mna moyo ninyi....Ila Sirro weweOne day mungu atakulipa....You will pay for what you did....Ulitumwa na mwendazake leo yuko wapi

Na Mungu alivyo fundi hakuna alowahi mgusa Mbowe akabaki salama, jiulize Why,,, Mbowe ni Hai na Hai Mbowe mtaikuta na mtaiacha na jimbo litabaki tu la chadema

Mama nakushangaa sana, hivi inakuaje unakubali jambo hili linakutia doa utawala wako?Mama unaheshimika ujue, huko nje wanakukubali mnoo but kwa hili unajiharibia sana, unatengeneza maadui mama pls stop this kuna nafsi inaniambia labda hauna mkono katika hii kesi lakini pls can you stop this oppression?Ondoa huu ukandamizaji

Kwanini bado tunaruhusu makesi yaloanzishwa na mwendazake yazidi kulitonesha kidonda hili taifa?Mama plz makesi yenye asili ya mwendazake yapigwe chini pls hakua na utu yule


Mimi nitakua wa mwisho kuamini mbowe ni gaidi kwanza haimake sense na hakuna igp anayenisikitisha kama sirro ila hakuna marefu yasiyo na ncha

Mateso alopitia mbowe ni magumu, na still akavumilia huyu jamaa ana moyo wa kimwamba aisee mimi hata robo siwezi narudia I can't! Wamemtesa sana wamemfanyia kila hujuma ila mungu atalipa soon
Always historia hujurudia kwa ubaya au kwa Uzuri kwani matendo ya watu ndo mstakabali wa yayale wanayoyaishi
 
Hata Sabaya anaumia kama anavyoumia Mbowe lakini Sabaya mlifurahia naye ana familia Tena ana mchumba mzuri kweli sasa nani atamuoa sasa ngoja gaidi ale mvua Mimi naenda kurithi mie wake tu kwahasira naenda kuoa miewake mbowe
Una kichaa cha mbwa
 
Jinsi tulivyojipanga sie majaji, DJ Makengeza aandae mafuta ya mgando ya kumpunguzia michubuko mana ni lazima ale mvua 30.
 
Kwani Sabaya sio binadamu?
Sabaya hakuwa na ndugu?
Mwambieni Kweka aje asimamie kesi ya baba mkwe.
Mbowe ni gaidi,kile kikosi cha utekaji bandia kilikuwa cha nani kama sio Mbowe?
Mabomu hayo ya kwenye mikutano yenu ya chadema mlikuwa mnayatengeneza ili Dunia iwaone mnaonewa.
 
Nadhani mnaelewa kosa la mbowe. So inabidi mnapoenda kumtembelea mumfundishe kua na adabu. Nchi hii baada ya jiwe kuna kiongozi.
 
Kwani Sabaya sio binadamu?
Sabaya hakuwa na ndugu?
Mwambieni Kweka aje asimamie kesi ya baba mkwe.
Mbowe ni gaidi,kile kikosi cha utekaji bandia kilikuwa cha nani kama sio Mbowe?
Mabomu hayo ya kwenye mikutano yenu ya chadema mlikuwa mnayatengeneza ili Dunia iwaone mnaonewa.
Sabaya was a evil man...don't compare mbowe someone's shit
 
Sheria ni msumeno mmefurahi kwa kijana mwenzetu kufungwa akiwa kwenye utekelezaji wa majukumu yake sasa mwenyekiti mapingamizi aliyotegemea yametupiliwa mbali yote mawakili wameishiwa la kufanya sasa wakili mzima unakomalia point eti mteja wako alinunuliwa chakula na waliomkamata kweeeli wakati ni moja ya matendo ya kiubinadamu aliyotendewa mteja wako Lisu huko nahisi aliingia kabatini kujificha kwa hiyo haibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom