Dhulma ilianza ya Mwembechai, Pemba, Kubenea, mauaji CHADEMA, akaja Ulimboka, sasa Ponda na Farid

Status
Not open for further replies.

BabieWana

Senior Member
Nov 3, 2010
178
29
Nimekua kila siku upande fulani kwa kila likitokea jambo
Lakini sasa naona hatari ya kuendelea na msimamo huu
kwani walipouliwa waislam mwembechai, wapo walioumia na wapo walioguswa na kusikitika kuona hawakutendewa haki kwani mambo waliyoambiwa ni uzushi
ikafuata wapemba baada ya uchaguzi waliuliwa kama mbuzi na kukimbilia mombasa ikawa sawa kuwa hao niwana CUF wamejitakia wneyewe
Kubenea naye kutetea haki hakuachwa wengi tulimuona amejitakia kwani hatuhusu
ikaja chadema arusha hapo tukaanza kupata picha kumbe hili SERIKALI katili halina huruma na linavunja haki za binadamu, kufumba na kufumbua morogoro na ikamaliza na iringa sasa chadema kimya
ulimboka na wenzake wakidai maslah yao ya msongi naye yakamkuta tuasema amejitakia kwani anasumbua nchi na kuhatarisha amani ya nchi
sasa ponda na farid twasema sawa hawa kwanza magaidi ni stahili yao wauwawe na kuwekwa ndani forever

hii hali ni mbaya kwani serikali inatumia loop hole hii ya kundi moja kua inaunga mkono serikaili inaposhughulia kundi jingine.

watanzania tunatakiwa kuacha kua bias tuyaangalie mambo kwa jicho la haki hasa inapokuja suala la uhai wa mtanzania, ni kweli hao wote walikosea kudai mambo kadhaa kwa serikali iyarekebishe? serikali hii kwa mitndo huu tujue itatumaliza ikimaliza kwa hao wewe na mimi tujue siku moja nasi yatatufika, tupendane na tuone umuhimu wa mtu kutundewa haki na tusiwe mashabiki

Hii ni ushauri si lazima uukubali leo hata baadae ukiwa peke yako utaona ipo shida kwenye uongozi wetu na tukicheka nao tutaambulia patupu
 
Kwani ww ulie andika hapa mbona nimtu ambaye hujui unaloliandika hapa Arusha kunasiku watu wamevamia eneo la kilombero wakavunja wakaiba mabati wakajipimia maeneo yao na mshawishi wa mambo hayo ni LEMA watu kimya lakini SHEIKH PONDA kavamia na mchochezi LEMA yeye mtusafi anapeta tu lakini iko siku haki itapatikana
...............duuuuuh!! kazi tunayo watanzania, nilikuwa sijui kuwa ignorance rate ni kubwa kiasi hiki hadi kwenye mitandano ambayo tunadhania wapo ''Great Thinkers'' halafu tunashuhudia umbu mbu mbu wa aina hii lol!!. Tuzidi kumuomba Mungu atupunguzie hii adhabu ya kutotumia ubongo kufikiria na atuchagulie adhabu nyingine yoyote ile hata kilema au kifo. Yaani unamfananisha Lema na Ponda au Fareed? Ok, Lema ni kiongozi wa Chama Cha Chadema ambacho ni cha kisiasa, je Punda na Fareed ni viongozi wa vyama gani vya siasa? Au mnataka kuvuta hisia za watu kwa kujaribu kuunganisha matukio ya kisiasa na kidini? Kweli wakati watu wengine wakiomba heri wanyimwe mali wapewe akili, kuna wengine wanaomba heri wanyimwe akili lakini wapewe Midevu lol!!
 
itakuwa maajabu kwa umma, Ulimboka akosane na serikali kwa dhulma madaktari wanazofanyiwa wavamie nyumba za wagonjwa na kupora mali. itakuwa maajabu kwa umma Said Kubenea ukosoaji wake serikali aende akavunje ofisi za gazeti la CCM -uhuru, vile vile itakuwa ajabu CDM ktk maandamano yao waende kwenye mashamba ya mtibwa kufyeka miwa. hivyo wadau wengi tunaona ajabu madai ya PONDA na FAREED kuhusisha uporaji na uchomaji moto makanisa. jamani nchi hii tumepewa sote na Mungu ,tuheshimiane kwa imani zetu. Mungu akitaka watu wote tuwe waislamu tutakuwa na akitaka watu wote wawe wakristo watakuwa hivyo tusijione sisi wanadamu kuwa tuna nguvu zaidi ya Muumba .
 
habari za jumapili.
Tafadhali mno naomba kujuzwa kwa kifupi mno vurugu zilizotokea mwebechai miaka ya tisini, katika maeneo yafuatayo;
1. Nini kilikuwa chanzo cha vurugu hizo.
2. Athari zake hasahasa vifo, ulemavu wa kudumu.
3. Wahusika walichukuliwa hatua gani?
4. Kuna uhusiano kati ya tukio hili na lile la kuvunja mabucha ya nyama ya nguruwe? au ni moja tu.
5. Na kingine chochote lakini hususani hayo hapo juu.
Nilikuwa mtoto kipindi hicho kuweza kujua na pia nimefatilia katika mitandao ikiwemo jf lakini sikushiba vizuri. Najua humu kuna watu walikuwepo wanaweza kata kiu yangu.
Ahsanten.
 
!
!
shukrani kwa kuwaita hawa mabwana. Tena huyu mohamedi said ndiyo amenifanya nipate hamu ya kusoma na kujua zaidi kuhusu mwembechai na sekeseke lake. Shukrani mkubwa. Nadhani kuna mtu anaitwa khataan na faizafoxy nadhani na wenyewe wako vizuri japokuwa mafundisho yao kidogo yako kimsimamo wa harakati.
 
Last edited by a moderator:
Askari wa FFU waliingia na viatu vyao (mabuti) ndani ya misikiti! Angalau wangeyavua mlangoni kama wafanyavyo waumini wengine!
 
Naona bado mnatuonjesha kidogo kidogo, nasubiri wenye full info kwa kweli maana na mimi pia enzi hizo 1990's nilikuwa shule ya Msingi hata kujua kinachoendelea ktk siasa nilikuwa on darkness
 
habari za jumapili.
Tafadhali mno naomba kujuzwa kwa kifupi mno vurugu zilizotokea mwebechai miaka ya tisini, katika maeneo yafuatayo;
1. Nini kilikuwa chanzo cha vurugu hizo.
2. Athari zake hasahasa vifo, ulemavu wa kudumu.
3. Wahusika walichukuliwa hatua gani?
4. Kuna uhusiano kati ya tukio hili na lile la kuvunja mabucha ya nyama ya nguruwe? au ni moja tu.
5. Na kingine chochote lakini hususani hayo hapo juu.
Nilikuwa mtoto kipindi hicho kuweza kujua na pia nimefatilia katika mitandao ikiwemo jf lakini sikushiba vizuri. Najua humu kuna watu walikuwepo wanaweza kata kiu yangu.
Ahsanten.

hazikuwa vurugu za mwembechai! ,... yalikuwa ni Mauaji ya mwembechai! .. innocents Muslims waliuliwa siku ile

Nimekua kila siku upande fulani kwa kila likitokea jambo
Lakini sasa naona hatari ya kuendelea na msimamo huu
kwani walipouliwa waislam mwembechai, wapo walioumia na wapo walioguswa na kusikitika kuona hawakutendewa haki kwani mambo waliyoambiwa ni uzushi
ikafuata wapemba baada ya uchaguzi waliuliwa kama mbuzi na kukimbilia mombasa ikawa sawa kuwa hao niwana CUF wamejitakia wneyewe
Kubenea naye kutetea haki hakuachwa wengi tulimuona amejitakia kwani hatuhusu
ikaja chadema arusha hapo tukaanza kupata picha kumbe hili SERIKALI katili halina huruma na linavunja haki za binadamu, kufumba na kufumbua morogoro na ikamaliza na iringa sasa chadema kimya
ulimboka na wenzake wakidai maslah yao ya msongi naye yakamkuta tuasema amejitakia kwani anasumbua nchi na kuhatarisha amani ya nchi
sasa ponda na farid twasema sawa hawa kwanza magaidi ni stahili yao wauwawe na kuwekwa ndani forever

hii hali ni mbaya kwani serikali inatumia loop hole hii ya kundi moja kua inaunga mkono serikaili inaposhughulia kundi jingine.

watanzania tunatakiwa kuacha kua bias tuyaangalie mambo kwa jicho la haki hasa inapokuja suala la uhai wa mtanzania, ni kweli hao wote walikosea kudai mambo kadhaa kwa serikali iyarekebishe? serikali hii kwa mitndo huu tujue itatumaliza ikimaliza kwa hao wewe na mimi tujue siku moja nasi yatatufika, tupendane na tuone umuhimu wa mtu kutundewa haki na tusiwe mashabiki

Hii ni ushauri si lazima uukubali leo hata baadae ukiwa peke yako utaona ipo shida kwenye uongozi wetu na tukicheka nao tutaambulia patupu

nashukuru kw ushauri mzuri wenye kuleta uoendo.
na hio ni kweli usemayo mwenzako akinyolewa tia maji nywele zako.
wakati wa utawala wa mkapa tulishuhudia vurugu kubwa kule visiwani mauji na unyanyasaji mwengine mwing tu lakini jamiu iliokua haikuguswa tuliwabeza wenzetu na kusema wamejitakia hivyo njia zile zinmmeanza kutumika TANGANYIKA kwenye ucgaguzi uliopita tumeona vurugu nyingi tuu watu kupigwa mabomu ya machozi maju ya muasho na udhalilishwaji na sasa tunaona hali km hii inaendelea mpk kwenye taasisi za kirai machinga. bodaboda na kwa viongozi wa dini na ccm hiii iliokwa madarakani na mimu na wewe inaanza kuvamia kumuandama raia 1 1 ulimboka. nawengune.

hiivyo tupazeni sauti zetu kupinga utaratibu huu wa ccm uliopewa jina la kushuhilulikiwa.
hivyo kila mpenda aamani ahakikishe kutoichagua serikali hii ya wabab na tuangalie macho yetu kw chadema. cuf nk
tuuungane raia tutafikaaaaa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom