Dhifa ya kitaifa kwa mwana wa mfalme ikulu ya tz, ktk picha

COMPLICATOR2011

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
253
35
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Duchess of Conrnwall katika dhifa ya kitaifa waliyowaandalia jana usiku Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisoma hotuba yake katika hafla hiyo.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akinyanyua glasi juu kuwatakia afya wageni wake na msafara wao.​
Makofi baada ya hotuba ya Rais.​
Prince Charles akisoma hotuba yake.​
Duchess of Cornwall akimpongeza kiongozi wa bendi ya brass ya Polisi baada ya kutumbuiza vyema.​
 
Tunatia aibu sana, kwa hali ya nchi hii kwa sasa rais makini asingekuwa na muda wa kuarika wageni toka nje ili kuja kusoma hotuba au kujipendekeza kwamba sisi ni watu wakarimu ili kupata misaada toka kwao. Ni aibu sana,nahisi katika makosa makubwa tuliyofanya ni kumchagua huyu bwana kuwa raisi wa nchi hii, embu angalia Tanzania yetu ilivyo;haina muelekeo , mambo yanabadilika badilika tu na matatizo lukuki, ukiamka leo hamna maji,kesho hamna umeme,kesho kutwa walimu wamegoma,mtondogo petrol bei juu, migomo ya wanafunzi kila kukicha. Tanzania ,kama kuna uchawi nahisi inawezekana tumelogwa, mana tumekuwa wazembe ne wajinga jinga tu.tunarasilimali lukuki lakini ona maisha yetu...tumefanya kuona shida ni sehemu ya maisha yetu, kahuda kadogo tukidanganyiwa na serikli, tunaona baraka kuu, kumbe ni haki yetu kuwa na maisha bora. Hakiki sisi tumekuwa ni wadanganyika na kwa uzembe huu, tutapoteza mama zetu, baba zetu,babu zetu,bibi zetu,dada zetu na wengine kwa kipindu pindu, malalia, kichomi na kuhara kwa kukosa maji safi, unaweza kujiona mwenye bahati mbaya sana kwa kuzali kwenye nchii hii yenye viongozi ambao wanacheka cheka tu na ambao hawajua kwanini nchi yao Tanzania. Its shame and so sad. GOD BLESS US
 
Back
Top Bottom